Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo imekuuma mimi kuwa account NETFLIX nimevitaja hivyo kwa sababu nimemuwekea mtoto wangu mazingira ya kile anachopenda TO BE AN ACTORUSHAURI WANGU ! ANZA KUBWEKA KAMA MBWA.....wood! Woow! Wuwuwuuuuuuu! Biniua na mdomo juu kuelekea alipo mke wako!
Fanya hivyo mfululizo hadi mkeo ahisi umechanganyikiwa!
Hakika kitakachofuata utarudi kunishukuru!
Pole sana Mr. dog
Ila kwa mbali unatabia za mbwa unatueleza HAbari za NETFLIX, Na smart TV za nini kwenye habari za mbwa!
Una matatizo siyo bure
Soma vizuri tuliitafuta chumbani kwetu ndipo uamuzi wa kuibeep ukaja ikaita kwa dogo TATIZO LIPO WAPI HAPOMbona kama tunanywesha chai ya kuunguza sukari hapa...
Simu ya mkeo hujui ilipo, then anatumia simu yako kuipigia simu yake na wewe waenda itafuta mahali itapoita...
Hapa najiuliza, kama mkeo anajua jina lako alilosave ni MBWA, iweje alikuachia wewe ndio ukaifuatilie simu mahali itapoitia?
Je, alitaka uone vile amekusave? Kama hii sio chai basi jibu ni NDIO...
Nini cha kufanya, if you think you're clean basi muulize kwa nini amekusave jina hilo?
Poa mbwa😂😂😂Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.
Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.
Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Mbwa hawachunguziUmeshindwa kumuuliza kwasababu hujui uanzie wapi lakini humu jf umepata pa kuanzia kutuelezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo nimecheka sanaNa wewe msev Ng'ombe