Akae nae chini wayamalize
Uislam/Madrassa wanafundisha watoto kiburi,dharau,ubaguzi,ugaidi na kila aina ya chuki dhidi ya wasio waislam.Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
Kwanza fuatilia vizuri ujue huwenda uisilamu unaruhusu kumuoa asiyekuwa muisilamu, fuatilia hiyo kwa mashekhe wa kila aina utapata jawabu zuri kama inafaa ama haifai.
Ukishajua kwamba inafaa basi jambo la kwanza linalobaki ni ndoa iendelee, kwa sababu miaka 18 sio kidogo na endapo mkiachana italeta shida pengine.
Lakini kuhusu watoto wewe usijali jambo la msingi ni mama asilazimishe awabadili na watoto hapo atakuwa ana kuoutshine na kulazimisha yeye ndio adominate.
Hakikisha watoto wanapata malezi mema kwa sababu hakuna dini inayofundisha maovu.
Unapoteza muda bila sababu. Unachunguza nini leo wakati ndoa ni shekhe alikufungia msikitini. Au viongozi wako wa dini waliokufungia ndoa hawaijui dini yenu vzr.Asante sana mkuu nalifanyia kazi hili
Wewe huyo excitement ya ndoa na utoto wa fahamu na maisha halisi vishamtoka.Asante sana mkuu nalifanyia kazi hili
Kwenye uislamu huwa hatuongei maneno matupu unatakiwa uweke na dalili kutoka either kwenye quran au hadith sahih nje ya hapo unaitwa UROPOKAJI.Kikubwa awe mcha mungu maana ata uislam unataka hicho tatizo ni kuwa mfuasi wa wale wauzaji wa leso,maji,mafuta,chumvi na n.k hapo hapana aisee
Shida si kubadili dini shida ni je kwanini unabadili dini ? Ikiwa sababu nje ya kuujua ukweli kwa hoja zenye mantiki basi bora usibadili baki ulipokuwepo.Naimagine siku eti nimebadili dini.
Hakyamamangu vile Baba yangu anaweza aniibukie usiku ndotoni anitandiiiiiiiikeeeeee!
EHEHEHEHEHHEHHE
yani Mkatoliki yule anaweza anitandike mpk niungane naye tu ajue moja!
Nakwambia yule Mzee atanitokea usiku
Anitaandikeeh! mpk nikate kamba nikakae nae tu kuume kwa Baba!
Hataweza kutulia pale Kinondoni mimi nikiwa naitwa Kuruthumu.
Haki ataomba arudi tu ili anipe mikwaju!
Kaamua kumrudia Mungu?mwache ndo alichoona kinafaa.Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
Ila mkuu kitimoto ni ishu nyingine ile.Ninaye dadaangu alibadili dini akawa muislamu kisa ndoa.
Akija home anakuwa mkristo na kitimoto anakula, akirudi kwa mumewe swala 5. Siku Moja nilimchana aache huo unafiki anaoufanya, Mungu hapendi huo ujinga.
Mtu akibadili dini, tena kisa mapenzi, kuoa/ kuolewa natemana nae kabisa maana hao watu hawanagana misimamo, kusnitch nje nje.
Sasa wewe ndugu yangu ulitaka tukushauri nini katika jambo binafsi la imani ya mkeo?
Ulitaka kumwacha kisa karudi kwenye dini yake?
Ulitaka kuitisha kikao cha ndugu ili hilo lijadiliwe?
Fahamu tu, imani ni suala binafsi tena jambo la rohoni, mkeo kaamua kuufuata moyo wake na kaamua kutokuwa mnafiki, hapo unatakiwa kumpenda zaidi, kumheshimu zaidi na kuwa karibu naye zaidi ili kuimarisha ndoa yenu.
Yupo sahihi mwache aendelee na dini yake na wewe baki na yako. Mbinguni hakuna diniHabari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
ni nyama tamu sana lakini kwa upande mwingine ni nyama chafu sana na hatari kwa afya. chukua mfano, hizo kitimoto mnakula mijini siku hizi, nyingi zimefugwa kwa miezi haifiki 4, tayari imechinjwa. hadi mifupa milaini kama nini. why? wanalisha vyakula vya kuwanenepesha wakue haraka kama mikuku, wanalisha madawa ya ARV. ninyi mnaofikiri hamjawahi kula ARV, mshakula sana kupitia kitimoto. watu wanajidanganya kwamba ni nyama nyeupe ila imejaa makemikali.Ila mkuu kitimoto ni ishu nyingine ile.