Zipo ndoa ambazo watu wanaishi kila mtu na dini yake na mambo yanakwenda vizuri.
Kama mna amani mwache arudi katika dini yake.
Kila mtu siku ile ya Hukumu atasimama mbele za Mungu mwenyewe!
Mwisho nyakati hizi ni za mwisho,Yesu Kristo anawarudisha Kanisani watu wake hata kama walipotelea mbali au walibadilishwa dini.