Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri

Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu

Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Kwa hiyo wewe ndiye mume wa msimbe?
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
Watoto wana umri gani? Fanya utafiti ujue kwa muda huu wanakulaje, wasije athirika kilishe na kusaikolojia. Huyo mke kaambiwa arudishe watoto halafu akale Bata kwao bila watoto.
Tafuta utaratibu wa kulea hao watoto kisha kawàchukue Kama mkeo anataka kurudi mruhusu ila mkae umpe utaratibu wako akiukubali kaa nae, akiukataa mwache aende kwao akale Bata la usimbe na wajomba zake.
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu

Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Una shida mahala kama Baba au Mume.
ILo nalo unaomba ushauri wewe piga kimya baada ya muda kama hajarudi fanya maamuzi ya kiume.
Vutq chuma mpya bichiii
 
Mke wako aliombwa kwao ukakataa, sababu ni Nini? haya ameomba nauli ukamnyima sababu ni Nini? Endelea kujimwambafai, baba wa familia huonekana wa maana kama mke wake na watoto wanakula, wanavaa na hawapungukiwi na kitu. Mfate mke wako na usiende kuongea upuuzi ukweni. Kaa chini na mkeo mzungumze, hofu yangu inawezekana wewe hata hutakagi mkeo aende ukweni kwa kuogopa utaonekana unendeshwa na wakwe; Acha upuuzi fata mke na watoto maana naamini watoto bado wadogo hao, Dunia imeharibika wanao wakiharibika wewe umechangia kwa kiasi kikubwa, amka baba, vaa roho ya ujasiri mtangulize Mungu, fata familia yako
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu

Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
mwanaume unashindwa vipi kumpa mke wako nauli ?
 
Wewe ndo bogus, mke wako kwao wapi? Mke wa baba yàko kwao wapi?
 
Chamsingi achana naye sikajifukuza mwenyewe Tena nakuomba usimubembeleze kwani zaidi ya hiyo mbunye ananinicha maana ,,mwache asote kwanza,limtu unalisitiri afu linaleta usenge achana naye we tafuta pesa Kama watoto unao tayari haina haja ya kuhangaika na wanawake tafuta hela
 
Waefeso 5:22

"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe....."

Kama mke anashindwa kumtii mumewe hapo hakuna Mke

Ila nilichojifunza kwa mtoa mada ni kuwahi Kuoa, miaka 32 tayari watoto wanne(4)

Hapo akifika miaka 50 nadhani atakuwa na Watoto wa kujaza Noah 2 za Malamba mawili hadi Magufuli stendi 😜
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu

Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Bado hujabadili Vitasa
 
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
Baba mkwe wako Yu wapi!? Historia ya ndoa ya mama mkwe wako unaijua!?Ulioa Kwa familia ya msimbe(single mother)? Imekula kwako
 
Mke wako aliombwa kwao ukakataa, sababu ni Nini? haya ameomba nauli ukamnyima sababu ni Nini? Endelea kujimwambafai, baba wa familia huonekana wa maana kama mke wake na watoto wanakula, wanavaa na hawapungukiwi na kitu. Mfate mke wako na usiende kuongea upuuzi ukweni. Kaa chini na mkeo mzungumze, hofu yangu inawezekana wewe hata hutakagi mkeo aende ukweni kwa kuogopa utaonekana unendeshwa na wakwe; Acha upuuzi fata mke na watoto maana naamini watoto bado wadogo hao, Dunia imeharibika wanao wakiharibika wewe umechangia kwa kiasi kikubwa, amka baba, vaa roho ya ujasiri mtangulize Mungu, fata familia yako
Mbona sio jambo la ajabu binafsi juzi mke wangu kaniomba nauli aende Tanga kikao Cha familia nimemwambia Sina pesa tunaishi Zenji nimemwambia najiandaa na majukumu ya January maana tuna watoto wa3 wanasoma private schools japo kanuna ila maisha lazima yaendelee.

Tukirudi kwa mtoa maada mke wa namna hiyo ni kumpa muda afanye ujinga wake yy na mama mkwe itafika wakat watajiona wajinga na kukurudia kikubwa asiwe mchepukaji tu.
 
Sioni:

1. Kwa nini ulimyima kwenda na Mama yake?
2. Kwa nini ulimnyima tena na nauli

Sio kila kitu ni kupambana na mwanamke, kuna siku utaona madhara, kuna vita zisizo za Msingi wewe mwache azishinde vizuri tu kwa amani!
1. Hakumnyima, amesema kulingana na mipango na ratiba za hapo nyumbani aliona kabanana hivyo hakumruhusu. Yawezekana kulikuwa na kaproject kanaendelea kanaitaji usimamizi, hivyo mke alitakiwa asimamie mume akiwa kazini
2. Hakumnyima, alimwambia hana. Hiyo ni kawaida kama kuna mipango mingine ya kifamilia inaendelea.

Ni kweli sio kila kitu cha kushindana na mwanamke ila pia sio kila kitu cha kumruhusu mwanamke. Kwahiyo hatujui ni vingapi vilikataliwa na vingapi vilikubaliwa.
 
Back
Top Bottom