uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
1. Hakumnyima, amesema kulingana na mipango na ratiba za hapo nyumbani aliona kabanana hivyo hakumruhusu. Yawezekana kulikuwa na kaproject kanaendelea kanaitaji usimamizi, hivyo mke alitakiwa asimamie mume akiwa kazini
2. Hakumnyima, alimwambia hana. Hiyo ni kawaida kama kuna mipango mingine ya kifamilia inaendelea.
Ni kweli sio kila kitu cha kushindana na mwanamke ila pia sio kila kitu cha kumruhusu mwanamke. Kwahiyo hatujui ni vingapi vilikataliwa na vingapi vilikubaliwa.
Upo sahihi, nakuelewa