Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 344
- 464
mama mtu ni mtu mzima na ana uzoefu na mambo ya ndoa, ilitakiwa akatae kuingilia mambo ya ndoa ya mwanae.Sio kweli, mama mkwe sio tatizo. Tatizo ni mke wake kamfungulia mlango mama yake.
Huyo mke sio mtoto wa kuendeshwa na mama. Angekuwa wa kuendeshwa angemsikiliza mume au kuendeshwa na mume
Sasa hapo inaonesha mama mtu ndio anapenda hizo mambo.