exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Nakwenda kwenye maada
Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo
Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia
Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu
Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake
Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.
Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi