Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauli aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nikatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20 mama mkwe akanipigia simu ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nimegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nifupishe tu

Nlirudi jioni nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nimeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwezi kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia simu majirani nataka nirudi lakini mimi bado hajanipigia simu.

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
 
Umri wako ?? Wewe ni mwanaume na baba wa familia ? Yani familia yako inAongozwa kama remote kutoka ukweni ,? Grow up man
Umri 32 nnaishi kwangu ila kuna kadalili mama mkwe hua analazimisha kuniendesha hapo ndipo hua tunapishana na katka kunidharau hivyo inaweza kua huyu mtoto wao hua ananisema vbaya ndio maana yanatokea hayo ya mama kutoheshimiana nae
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mkewangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehem na mkewangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nmebanana nkamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauri aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nkatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20mama mkwe akanipigia sm ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nmegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nfupishe tu

Nlirudi jion nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nmeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwez kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia cm majirani nataka nirudi rakni mimi bado hajanipigia simu

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Bado unampenda mkeo!?
Kama unampenda na unaamini anakupenda basi msamehe arudi,mkanye kisha muendelee na maisha,mlee watoto wenu.
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mkewangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehem na mkewangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nmebanana nkamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauri aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nkatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20mama mkwe akanipigia sm ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nmegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nfupishe tu

Nlirudi jion nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nmeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwez kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia cm majirani nataka nirudi rakni mimi bado hajanipigia simu

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Na wewe toroka mkuu
 
Ndio shida ya kuoa familia za kiswahili
 
Mpigie simu mkeo ongea nae na umwambie msimamo wako na maisha yako kwamba hutaki maisha yako na familia yako yaingiliwe na wazazi wenu..

Watoto ni muhimu walelewe na wazazi wote wawili usiwaache waende kutanga tanga kwa ndugu huko..!
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mkewangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehem na mkewangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nmebanana nkamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauri aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nkatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20mama mkwe akanipigia sm ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nmegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nfupishe tu

Nlirudi jion nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nmeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwez kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia cm majirani nataka nirudi rakni mimi bado hajanipigia simu

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
1. Kwa mimi nisiyependa dharau za reja reja hata aje na shetani kama mshenga ndio imetoka hiyo.
2. Inaonyesha utampokea lkn hakuna mke hapo, ulikojoa pabovu budaa
 
Nakwenda kwenye maada

Siku ya ijumaa mkewangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehem na mkewangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nmebanana nkamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo

Sasa tokea nizuie hiyo safari mke kununa mda wote imefikia ijumaa akaniomba nauri aende akasalimie mgonjwa ndugu yake nkamwambia sina nauli akaaza kulia

Mimi nkatoka nikamwacha nikaenda kazini baada ya dakika 20mama mkwe akanipigia sm ananiambia baba kama umemchoka mwanangu naomba leo akupishe utafute wengine kwamaana wewe nmegundua huna heshima na kuanzia leo usahau kuhusu mwanangu, kifupi aliongea mengi nfupishe tu

Nlirudi jion nikakuta kaondoka na watoto wote wanne katumiwa nauli na mama yake

Sasa kuna hawa majirani nmeanza kusikia kwamba huko nyumbani kwao kuna fukuto kuna mwanafamilia mmoja mjomba wake kauma msimamo kamwambia rudisha watoto kwa baba yao ndipo urudi kula usimbe vizuri hatuwez kuhudumia familia ambayo haituhusu, kaona kuna ugumu kukaa mbali na watoto wake kaanza kuwapigia cm majirani nataka nirudi rakni mimi bado hajanipigia simu

Nipe mawazo yako hapa cha kufanya akirudi
Mke ni yule mwenye heshima na anaejua thamani ya mume wake, akamsikiliza na kufuata maagizo yake, kama hizo ndio tabia zake, please MUACHE, kwasababu kama anathamini utu wako basi hawezi kukuzalilisha kwenye familia yake kiasi hicho. Na kwa mujibu wa maelezo yako hata familia yake haikuthamini,, akirudi wewe muandalie TALAKA, Utanishukuru sana, ndoa ni sawa na kutia mkono kizani✍️. Tafuta mke usitafute mwanamke✍️✍️
 
Back
Top Bottom