Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Niliruhusu vip wkt matukio yote yanatokea nilikua Sijui,
Mkuu, mi sio mtu wa kushinda nyumbani

Nikiondoka asbh, kurudi ni saa 5 au 6 usiku
Ila mkuu kuna upande wa mkeo unaujua na hujausema hapa makusudi.

Ndio maana hata wewe humuamini, unamfuatilia sana.

Naunganisha dots na kitendo chake cha ukuwadi.

Ngumu kukuwadia kama huna tabia za kuchepuka
 
Unaona sasa, utamlaumu bure mkeo ila hawezi kumtema mshirika wake kwa kuwa yamebuma upande wake.

Hao lao moja
 
Punguza hasira mkuu
 
Binadamu bhana, kweli tuna vichwa ngumu...,kwann uwasiliane na MTU ambaye hakukupa thamani...ivi wanajua maana ya ex kweli? Inaumiza sana....kiukweli masingle mom tuacheni tu hata msituoe...tumekubuhu..khaa
Unawatoto wangapi mupendwa
 
Wasichana fresh wamejaa nchi hii. Ukienda Mbeya unaweza kurudi na kumi, ukienda Tanga unapata mabikra sio chini ya Mia, halafu MTU Tena ticha anaoa single mother. Hawa mabikra mnatuachia sisi tuliooa?
Single mother unamvalisha shela kabisa, halafu kwa wenzio unajiita unaakili? Singo maza kwa mchepuko sawa lkn sio ndoa.
Vya rahisi vinaponza.
 
Aiseee,, bro anazingua, shemeji amempa nguvu nyingi sana, Mimi mke wangu hawezi ruhusu kuingiza mashoga zake ndani kwangu bila kunijulisha kwanza Kuna ugeni, hata Kama siko nyumbani
Nanyi mnatuchanganya kuweka avatar za kichawa humu!
Sura ya kike, mchango wa kiume!
 
Acha kuwa legelege kaka, masuala ya familia mwanaume hutakiwi uongee mara 2 kwa jambo Moja.

Wanawake huwa wanapima upepo, ukiona mkeo umemwambia jambo la serious kama hilo tangu jana mpaka leo hajatelekeleza, ashakupima na ameona anakumudu.

Binafsi ana uhuru wa kutosha ila upuuzi hathubutu kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…