masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mtu anavyokua na urafiki na mtu na hawna shuhuli nyingi jiulize wanapokua pamoja huwa wanazungumza niniSahii kabisa,
Ni utovu wa nidhamu ulokithiri
Niliwaza kumtimua usiku ule ule binti,
Ila nikamhurumia mtoto mdg wa yule binti,
Nikawaacha walale mpk asbh ndo waondoke
You will be surprised inawezekana mkeo ndo kamtafuta huyo jamaa.
Inawezekana alimwambia niambie jina lake tumtafute facebook...
Huo muda wa mkeo ku deal na affair za mtu mwingine anaupata vipi?
Mpaka kuwakutanisha?
Hahah inawezekana aliwakaangia na soseji na juyc kabisa
Au anashinda siku nzima home?
Ajipe shuhuli aisee