Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu

Sahii kabisa,
Ni utovu wa nidhamu ulokithiri
Niliwaza kumtimua usiku ule ule binti,
Ila nikamhurumia mtoto mdg wa yule binti,
Nikawaacha walale mpk asbh ndo waondoke
Mtu anavyokua na urafiki na mtu na hawna shuhuli nyingi jiulize wanapokua pamoja huwa wanazungumza nini
You will be surprised inawezekana mkeo ndo kamtafuta huyo jamaa.
Inawezekana alimwambia niambie jina lake tumtafute facebook...
Huo muda wa mkeo ku deal na affair za mtu mwingine anaupata vipi?
Mpaka kuwakutanisha?
Hahah inawezekana aliwakaangia na soseji na juyc kabisa
Au anashinda siku nzima home?
Ajipe shuhuli aisee
 
Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Kwa inavooneka haya matukio yanatokea mchana mda ambao nakua Niko kibaruani.

Mke wangu Ni mama wa nyumbani na Sikujua mpk nilipokua kuyaskia kwa mwenyekiti walipokua wakitoa maelezo.

Kiukweli nmefadhaika Sana,
Ndo maana nafikria kumrudisha wife kwao kwanza akafundwe Tena na Wazazi wake.

Huu Ni utovu wa nidhamu uliokithiri dada angu.
 
Mpe mtaji afanye kazi.utanishukuru baadae
 
Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Aiseee,, bro anazingua, shemeji amempa nguvu nyingi sana, Mimi mke wangu hawezi ruhusu kuingiza mashoga zake ndani kwangu bila kunijulisha kwanza Kuna ugeni, hata Kama siko nyumbani
 
.
20221031_173226.jpg
 
Aiseee,, bro anazingua, shemeji amempa nguvu nyingi sana, Mimi mke wangu hawezi ruhusu kuingiza mashoga zake ndani kwangu bila kunijulisha kwanza Kuna ugeni, hata Kama siko nyumbani
Maisha ya kiswahili plus.
Kuna siku nilikua nasikiliza redio muda wa kuwafunda wanawake.
"Unakuta mwanaume anatoka kazini,mke wake yupo seblen na mashoga zake wanachek zao tamthilia"
Hapo kasema alirudi akaingia chumbani moja kwa moja na wala mkewe hakumfata aliendelea na shoga ake kuchek movie
Hahaahaa ila watu wangepata mtu kama mume wangu
Kesho yake asubuhi tu unaenda kwenu
 
Hapo mkuu hauna jinsi. Ungefanya umjengee huyo mama D nyumba. Na kwa vile una duka la hardware, gharama haitakuwa kubwa. Wanawake wanaowadharau mnawatoaga wapi?
 
Mama D akili hana wallah

Unachwa na mimba unaolewa halafu aliyekuacha anakuja kukusababisha uachwe tena unakubali😃😃😃

Wanaume mkiwa mnatafuta wake za kuoa mnaangaliaga nini?? Heshima, akili na upendo au mnaangalia yale makelio😎😎😎

Halafu baba G DeepPond ongea na mama D utayajua mengi ya mama G🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
Makalio yanawaponza
 
Pole mwanangu.

Huyo mke wa mtu kamkabidhi kwa wasimamizi wa ndoa au kwa wachungaji waliofunga hiyo ndoa.

Mkeo mkanye na mpe onyo.

Usivunje ndoa yako kwa ajili ya mwanamke malayah.
 
Nimedhamiria Kama kweli nikirudi jion na kumkuta binti nyumban kwangu, itabidi waondoke wote maana Itakua inaonekana kama nmeoa wake wawili.
MKE wangu ntamrudisha kwao,kama wakiamua wakaishi wote uko kwao na shoga yake sawa TU itakua juu yao.
Siwez beba lawama ya kuvunja ndoa ya watu Kisha MKE wa mtu aliyefukuzwa akaishi kwangu
Fanya hivyo mkuu, maliza mjadala fukuza wote kwa pamoja hao ni pipa na mfuniko, mkeo kuwa km kuwadi wa wake za watu haileti picha nzuri kabisa
 
Maisha ya kiswahili plus.
Kuna siku nilikua nasikiliza redio muda wa kuwafunda wanawake.
"Unakuta mwanaume anatoka kazini,mke wake yupo seblen na mashoga zake wanachek zao tamthilia"
Hapo kasema alirudi akaingia chumbani moja kwa moja na wala mkewe hakumfata aliendelea na shoga ake kuchek movie
Hahaahaa ila watu wangepata mtu kama mume wangu
Kesho yake asubuhi tu unaenda kwenu
Sasa dawa so ndogo tu hapo, unaoga unabadili nguo unatoka Tena bila kuaga unawapita Tena hapo sebuleni, na simu nazima
 
Back
Top Bottom