masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mtu anavyokua na urafiki na mtu na hawna shuhuli nyingi jiulize wanapokua pamoja huwa wanazungumza niniSahii kabisa,
Ni utovu wa nidhamu ulokithiri
Niliwaza kumtimua usiku ule ule binti,
Ila nikamhurumia mtoto mdg wa yule binti,
Nikawaacha walale mpk asbh ndo waondoke
Kwa inavooneka haya matukio yanatokea mchana mda ambao nakua Niko kibaruani.Mgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Ndio katika hili.Ni sawa kabisa na kunauwezekano wanafichiana Siri hata mkeo huenda anatumia simu ya huyo rafiki yake
Amini mkuu ndo walivyoKuna ukweli Hapa[emoji848]
Mpe mtaji afanye kazi.utanishukuru baadaeKwa inavooneka haya matukio yanatokea mchana mda ambao nakua Niko kibaruani.
Mke wangu Ni mama wa nyumbani na Sikujua mpk nilipokua kuyaskia kwa mwenyekiti walipokua wakitoa maelezo.
Kiukweli nmefadhaika Sana,
Ndo maana nafikria kumrudisha wife kwao kwanza akafundwe Tena na Wazazi wake.
Huu Ni utovu wa nidhamu uliokithiri dada angu.
Aiseee,, bro anazingua, shemeji amempa nguvu nyingi sana, Mimi mke wangu hawezi ruhusu kuingiza mashoga zake ndani kwangu bila kunijulisha kwanza Kuna ugeni, hata Kama siko nyumbaniMgeni yoyote anapoingia nyumban lazima nimpogie simu husband haijalishi yupo nyumban au yupo mbali...
Sasa hao walikuja zaid ya 3 times na hauna taarifa
Mzeee???
Umeoa/umeolewa au mmeoana
Maisha ya kiswahili plus.Aiseee,, bro anazingua, shemeji amempa nguvu nyingi sana, Mimi mke wangu hawezi ruhusu kuingiza mashoga zake ndani kwangu bila kunijulisha kwanza Kuna ugeni, hata Kama siko nyumbani
Makalio yanawaponzaMama D akili hana wallah
Unachwa na mimba unaolewa halafu aliyekuacha anakuja kukusababisha uachwe tena unakubaliπππ
Wanaume mkiwa mnatafuta wake za kuoa mnaangaliaga nini?? Heshima, akili na upendo au mnaangalia yale makelioπππ
Halafu baba G DeepPond ongea na mama D utayajua mengi ya mama GπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Binadamu bhana,kweli tuna vichwa ngumu...,kwann uwasiliane na MTU ambaye hakukupa thamani...ivi wanajua maana ya ex kweli? Inaumiza sana....kiukweli masingle mom tuacheni tu hata msituoe...tumekubuhu..khaa
Fanya hivyo mkuu, maliza mjadala fukuza wote kwa pamoja hao ni pipa na mfuniko, mkeo kuwa km kuwadi wa wake za watu haileti picha nzuri kabisaNimedhamiria Kama kweli nikirudi jion na kumkuta binti nyumban kwangu, itabidi waondoke wote maana Itakua inaonekana kama nmeoa wake wawili.
MKE wangu ntamrudisha kwao,kama wakiamua wakaishi wote uko kwao na shoga yake sawa TU itakua juu yao.
Siwez beba lawama ya kuvunja ndoa ya watu Kisha MKE wa mtu aliyefukuzwa akaishi kwangu
Sasa dawa so ndogo tu hapo, unaoga unabadili nguo unatoka Tena bila kuaga unawapita Tena hapo sebuleni, na simu nazimaMaisha ya kiswahili plus.
Kuna siku nilikua nasikiliza redio muda wa kuwafunda wanawake.
"Unakuta mwanaume anatoka kazini,mke wake yupo seblen na mashoga zake wanachek zao tamthilia"
Hapo kasema alirudi akaingia chumbani moja kwa moja na wala mkewe hakumfata aliendelea na shoga ake kuchek movie
Hahaahaa ila watu wangepata mtu kama mume wangu
Kesho yake asubuhi tu unaenda kwenu
Leo umesema ukweli wa ndani kabisa, hili ni neno la moyonikiukweli masingle mom tuacheni tu hata msituoe...tumekubuhu..khaa