Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Tatizo la wanawake walio zalisha wakapata mwanaume mpya wanataka wampe mzigo wa Baba mtoto we mwanamke unatakiwa ukishaanza mapenzi na mwanaume mpya unatakiwa umwambie Mimi Nina mtoto tu nasiyo kuanza kulilia kwa bwana wako mpya atoe huduma kwa mtoto no vizur maitaji ya mtoto uwaombe wazaz wa Baba wa mtoto Baba zake wadogo na wakubwa mashangaz zake maana wao ndiyo damu Yao lakini siyo Una waacha wana enjoi mzigo wao Una mtupia kija wawatu.
 
Hayo makubaliano kuhusu kubadili jina la mtoto ilitakiwa mjadili kabla mkabadilishe na cheti cha kuzaliwa kabisa.

Hapo naona kama wewe umefanya maamuzi ya kukurupuka bila kumshirikisha mwenzako lakini uamuzi wako ulikuwa mzuri sana kumfanya huyo mtoto ajue wewe ndio baba yake na amesahau huyo baba yake.

Uamuzi wako nauunga mkono asilimia zote huwezi kuishi na mwanamke ambaye bado akili zake zipo kwa mzazi mwenzie.

Ungechelewa kuchukua maamuzi wangekuwa wanapashaga viporo hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You guys believe this story??

Kwahiyo mleta nada, hiyo scenario ulivyoiandika hapo ndo ilitokea hivyo kabisa!! Najua Kuna watu wanaishi kama wanyama mwitu huko duniani, Yani full drama, makelele, unnecessary ugomvi etc but your story is a lie, hata kama ni kweli umeongeza chumvi ku provoke hisia za watu.
 
We jamaa Una akili sanaaaa

Huyu mwanamke huyo NI muhuni sanaaaa

Ukiona hivyo huyo mwanamke anapokea matumizi Kwa ex wake (Baba mtoto ) kimya kimya, sasa anaogopa ikitokea akajua jina limebadilishwa wakati na yeye anatoa matumizi itakuwaje

Wewe unaona unamsomesha,kumbe mnatoa ela watu wawili Ila ya baba wake halisi anaila wewe hujui...
 
Akujue we nani sababu ipi!

Mwanao wa kumzaa ndio muite majina upendayo ila mtoto wa mwenzio unamuitaje majina ambayo sio yake au cheti cha kuzaliwa hakioneshi?
Mie ningemtesa mamaake kupitia mwanae full stop akiniomba hela dogo namwambia kamuombe baba yako
 
Sasa lie kivipi???? Mbona haman alichoongeza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Itakuwa single maza nin wew
 
Katika Point zote nilizosoma hii naona ndio sababu kubwa why mama alikuwa mkalii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ili aendelee kupiga hela kote ila kama baba hatunzi wamama huwa hawawazi kabisa kubadilisha jina la mtoto kabisaa...
 
Woyooooooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91] namna hiyo , shtuka jombaa huyo ni mke wa mtu, ukimuoa tu tambua kuwa utakuwa umeoa mke wa mtu ,so Kama upo tayari kuona unakufa kwa stress za kuchapiwa na mzazi mwenzie sawa muoe nakutakia kila la kheri
 
Hamna ndoa hapo!! Bado anampenda baba mtoto kuliko wewe, na hiyo ni dalili yenye ujumbe kutoka moyoni mwake.
Wakati mwengine, ni busara kumwangamiza adui kabla hajakufikia.
Words
 
Mnasema tu sababu hayajawakuta,hivi unawezaje kuishi na mtoto ambaye unatumia jina la mwingine huku wewe ukimuhudumia kila kitu??
Imagine , hata pale unapoonyesha juhudi za kumuhudumia Kama hivyo still una kutana na madharau Kama hayo ,
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Apo mbona naona wewe ndo una makosa[emoji848]
Kazingua alipotaka kumuandikisha mtoto kwa jina lake ilhali sio mtoto wake ,,

Lakini mwanamke kazingua zaidi kwa sababu kaonyesha uvunjifu wa utovu wa nidhamu kwa huyu jamaa wazi wazi yalikuwa ni Mambo ya kueleweshana tu ,,

Hata hivyo kuishi na single mother ni risk kubwa Sana
 
Ukweli gani unaelezwa kwa njia ya kebehi na dharau ya kiwango hicho mpaka kufikia hatua ya kuchana chana madaftari as if wamepewa bure wakati mwenzie katumia pesa kuyanunua hata Kama pesa wanazo nyingi but alipaswa kuonyesha heshima na kuthamini mchango wa mwenzio katika kujitoa kwa mwanae ,

Sipingi kuwa mtoa thread alikosea lakini kosa alilofanya limempatia njia au jawabu la kutambua kwamba Mwanamke aliye nae hamfai na hastahiki kuwa mkewe ipo siku atamdhalilisha zaidi ya hapo Kama asipo achana nae
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Oyaaaa hii quote yako sio mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…