Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Sa ingine sijui huwa tunalogwa...majibu aliyompatia hayakuwa sawa kabisa yanakeraaAcha alimwage lijinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa ingine sijui huwa tunalogwa...majibu aliyompatia hayakuwa sawa kabisa yanakeraaAcha alimwage lijinga sana
Tatizo la wanawake walio zalisha wakapata mwanaume mpya wanataka wampe mzigo wa Baba mtoto we mwanamke unatakiwa ukishaanza mapenzi na mwanaume mpya unatakiwa umwambie Mimi Nina mtoto tu nasiyo kuanza kulilia kwa bwana wako mpya atoe huduma kwa mtoto no vizur maitaji ya mtoto uwaombe wazaz wa Baba wa mtoto Baba zake wadogo na wakubwa mashangaz zake maana wao ndiyo damu Yao lakini siyo Una waacha wana enjoi mzigo wao Una mtupia kija wawatu.Comments kama hizi mwaka 2022 ni aibu sana. Hivi hujui kuna wanaume wakatili, wanazalisha na kukimbia? Hujui kuna wanaume wanapiga? Hujui kuna kuachwa kwa ajili ya uzinzi? Kwahiyo hao wanawake hawana nafasi ya pili ya kupendwa? Jesus, I am very disappointed. Comments au thread za namna hii ni za kuondolewa mara moja. Mnapandikiza roho chafu ndani ya wanaume sahihi. Na nawaombea nyinyi wanaume mnaotukana single mothers vizazi vyenu vyote viee single mothers. Shenzi kabisa wewe.
Mie ningemtesa mamaake kupitia mwanae full stop akiniomba hela dogo namwambia kamuombe baba yakoAkujue we nani sababu ipi!
Mwanao wa kumzaa ndio muite majina upendayo ila mtoto wa mwenzio unamuitaje majina ambayo sio yake au cheti cha kuzaliwa hakioneshi?
Sasa lie kivipi???? Mbona haman alichoongeza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Itakuwa single maza nin wewYou guys believe this story??
Kwahiyo mleta nada, hiyo scenario ulivyoiandika hapo ndo ilitokea hivyo kabisa!! Najua Kuna watu wanaishi kama wanyama mwitu huko duniani, Yani full drama, makelele, unnecessary ugomvi etc but your story issa lie, hata kama ni kweli umeongeza chumvi ku provoke hisia za watu.
Katika Point zote nilizosoma hii naona ndio sababu kubwa why mama alikuwa mkalii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ili aendelee kupiga hela kote ila kama baba hatunzi wamama huwa hawawazi kabisa kubadilisha jina la mtoto kabisaa...We jamaa Una akili sanaaaa
Huyu mwanamke huyo NI muhuni sanaaaa
Ukiona hivyo huyo mwanamke anapokea matumizi Kwa ex wake (Baba mtoto ) kimya kimya, sasa anaogopa ikitokea akajua jina limebadilishwa wakati na yeye anatoa matumizi itakuwaje
Wewe unaona unamsomesha,kumbe mnatoa ela watu wawili Ila ya baba wake halisi anaila wewe hujui...
WordsHamna ndoa hapo!! Bado anampenda baba mtoto kuliko wewe, na hiyo ni dalili yenye ujumbe kutoka moyoni mwake.
Wakati mwengine, ni busara kumwangamiza adui kabla hajakufikia.
Sahihi kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
[emoji375][emoji375][emoji457]Hivi bado kuna vijana wanataka kuoa wanawake wenye watoto?
Vijana mnakwama wapi?
Single mother aolewe na single father, wazee au wagane.
Imagine , hata pale unapoonyesha juhudi za kumuhudumia Kama hivyo still una kutana na madharau Kama hayo ,Mnasema tu sababu hayajawakuta,hivi unawezaje kuishi na mtoto ambaye unatumia jina la mwingine huku wewe ukimuhudumia kila kitu??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Acha Kutuuliza Maswali Ya ajabu ajabu......aliyekwambia Uvamie Kiwanja Chenye Migogoro ni Nani?
Wewe Hudumia bao la Mwanaume mwenzio...Halafu Huyo mama anamsubiria mtoto wake Apate tu Akili....Akipata tu Akili Atamwambia Huyu Sio Baba Yako ,...Baba Yako Halisi ni Yuleeeee..!
Bro hilo litakuuma kupita Kiasi na ndio Ushamlipia Ada na huduma Zingine...!
Kazingua alipotaka kumuandikisha mtoto kwa jina lake ilhali sio mtoto wake ,,Apo mbona naona wewe ndo una makosa[emoji848]
Ukweli gani unaelezwa kwa njia ya kebehi na dharau ya kiwango hicho mpaka kufikia hatua ya kuchana chana madaftari as if wamepewa bure wakati mwenzie katumia pesa kuyanunua hata Kama pesa wanazo nyingi but alipaswa kuonyesha heshima na kuthamini mchango wa mwenzio katika kujitoa kwa mwanae ,Braza upo vyema kichwani kweli ama ni Afande Swila ndio anaandika hapa? Unampiga chini kisa kakuambia ukweli utachukuaje jina la kwako ukampe mtoto wa mwanaume mwenzio? Ningekuwa mimi ndio ingekuwa fursa ya kuacha mpaka kutoa huduma na kumlipia ada huyo Kelvin. Zaa wa kwako.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usijaribu kuleta masuala ya huruma mbele ya mahusiano na mwanamke Wana roho ngumu hata shetani huwa anashangaa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Hakuna kitu kinakera kama unajipinda na hali hii ilivyo ngumu kumlipia school fees na matunzo mengine mtoto wa single mother kwa sababu uko na mama yake kwenye mahusiano then midaftari yote imeandikwa majina ya mwanaume mwingine ambaye yuko bussy na mambo yake uko. Then mbaya zaidi mtoto awe anamfanana baba yake [emoji817] ndo inakera zaidi. Yaani ukimuona mtoto unamuona mme mwenzako in full effect [emoji4][emoji4]
NakubaliItoshe kusema usimuonee huruma mwanamke
Oyaaaa hii quote yako sio mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]Ukweli mchungu ila ni hivi
Hakuna mechi inayoanza timu pinzani ikiwa inaongoza goli 1-0
*But kwa situation hii yako solution yake n ndogo sana, kama wewe ndio unaelipa ada basi inatakiwa mke wako akuheshimu na utumie jina lako as mtoto anavyo spend ada yako, kama hataki baba mtoto aanze kutoa ada
Note: Don't treat a woman like a celebrity because she will treat you like her fan
JamiiForums mobile app