Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Baba sio kumwaga shahawa na Kutelekezaaa ila wanawake mmejaa upumbavu wa kushindwa kuelewa Baba ni majukumu...!! Kitombo yoyote anakupaa ila majukumu na kulea mtoto huyo ndo baba kwa kuwa hamuelewi hilo ndo maana Mwanaume kudate na Single maza ni Upuuzi..
 
Nyie ndio mqbongo lala kwa hiyo mnataka jamaa amwage jasho lake kwa mtoto asie wake ili iwaje .....?
 
Mbona hii scenario haihusiani na msaada, on normal perspective huyu jamaa ameonyesha unconditional love kwa mtoto na Mwanamke tena akitaka kabisa ammiliki despite akijua si mwanae biologically who does that ?
Namuonea huruma huyo Dada kwa ujinga wake,km kuna walomshauri baasi wamempotosha Mimi I couldn't careless kuhusu ubin ningestick kwenye mapenzi ya dhati ya jamaa ningefanya maamuzi na atachekwa na dunia yote.
Wakaka mnaomtetea mkamuoe sasa au nyie wadada mnaotetea mkampe kaka zenu wamuoe
 
Good! Safi Sana huo ndio uanamme hakuna kurudi nyuma. Kama baba yake yupo hai basi mtoto aondolewe akaishi na baba yake.
 
Mkae mjadiri nini.. ..? Mbona kwenye malezi hamkujadiriana.... ? Wanawake wengi mnaharibikiwa na kuonekana hamna maana kisa hiyo mijadara ....angalia wanawake wote wanao penda mijadara hawanaga ndoa cos wanaonekana wajuaji.


Hapo jamaa kacheza Kama Pele kilicho Baki akamtafute baba mtoto wake walee
 
Uyo mwanamke Fala sana umezaa na jitu limekutelekeza na mimba pengine limekataa kabisa Mtoto kazaliwa halitunzi na sio uwezo hana la hasha pengine ana kazi nzur kabisa sasa apo mwanamke unakumbuka nin kwa uyo bwana manina....mimi nlimbadilisha ubid Mtoto wa dada angu haiwezekan kila kitu kwetu af jina la mpumbav mmoja hiv [emoji17][emoji17]
 
Broo Kama vile nakufahamu vile Kama vile hi kesi yako nimeisikia mbezi beach HV pale Karib na kkkt
 
Bas kumbe una mambo ya kijing HV miaka minne hatak kuzaha eti unamonea hurum dogo Bab yake c yupo
 
Wee unaongea utopolo Gani wew kweli ujapatwa vzr
 
Babu umekosea kwa mjomba Hakuna uridh

Mm yalinikuta tukanyanganyana mtoto wakanishinda nikawaachia nikata kbsa bill zote uko wakaniambi hata jina watalitoa kule bas nikakubali mpk leo mtot anatumia jina langu na mm nillishakubali kuwa wabadili jina langu asilitumie lkn wamegoma
 
Nyie ndio mqbongo lala kwa hiyo mnataka jamaa amwage jasho lake kwa mtoto asie wake ili iwaje .....?
Kama ukoo wa baba upo na Mtoto anatambulika na Baba mzazi lazima jina la ukoo liwe la baba mzazi! Kama Mama hamjui Baba aliyempa Mimba inapendeza Mtoto akachua jina la ukoo upande wa Mama yake!!
 
Kama wwe shida yako ni kubadilishana jina la ukoo na msaada wako,hapo utakua hujaamua kumlea huyo Mtoto kwa mapenzi ya thati! Kesho mkiachana na Mama wa Mtoto je wwe utabaki na huyo mwanawe uliombadilisha jina la ukoo!?
 
Nguvu zipo za kutosha tu,pesa ipo ..kupata mtoto ni majaliwa ya Mungu
Nimesoma komenti chache huko mwanzo, wadau wamekupa muongozo.

Mimi binafsi nakushauri utafute jimbo jipya, hili jimbo lina mwenyewe, lina doa.

Hakuna jambo la kujivua kama kuanza kitu kuanzia sifuri hadi juu.

Mapenzi ni upofu, ila tafakuri ndio muhimili wa huo upofu.

Kila la kheri mkuu!!
 

Bora wewe wanamtunza inshu ni kama hawatunzi nachukua ukoo.....kwangu hana urithi ndo mana nampa elimu ajisaidie mkuu
 
Kama ukoo wa baba upo na Mtoto anatambulika na Baba mzazi lazima jina la ukoo liwe la baba mzazi! Kama Mama hamjui Baba aliyempa Mimba inapendeza Mtoto akachua jina la ukoo upande wa Mama yake!!

Kama baba yupo yupo hana habar na Mtoto je??
 
Hivi unajua wewe hekaheka za kulea Mtoto???gharama unazijua wewe??Sadaka sio hiyooo ndugu.yaani njemba litulize mbupu zake,mwenzie amleleee.weweeeeee,fukuzia mbaliii
Mpaka mwanamke kufikia hatua ya kuzuia huyo mtoto asitumie ubini wa baba wa kambo tafsiri yake,baba mzazi wa huyo mtoto hajamtelekeza au kumkana,angekuwa amemtelekeza au kumkana,huyo mama ndo angekuwa wa kwanza kuhitaji huyo mtoto wake atumie ubini wa baba yake wa kambo.
 
Uko Nyumba ya Kupanga
Jenga yako

Aafu hii ni km wa Mpwapwa Jua ni wng
 
Amleeje Yatima wakat babake nipo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…