unamhudumia kwani babake hayupo? hata mimi ningekuwa baba nitakubali mwanaume mwingine ahudumie mtoto wangu? upande wangu, enzi hizo niko misri, nilizaaga na mwanamke mmoja hivi nina mtoto naye hadi leo. huwa natuma ada nahudumia kila kitu huko huko, sasa ilifika kipindi kuna shule moja ya wazungu walikuwa wanataka kutoa msaada kusomesha watoto wasio na uwezo, hasa wale wenye wazazi wasiojiweza, ni shule nzuri mno ya english medium mkoa fulani hivi....mwanamke yule akataka kujifanya ati mimi sipo mtoto aingie kwenye kusaidia na wazungu huko ili anipunguzie majukumu. nilikinukisha balaa, mttoto wangu asaidiwe as if mimi sipo? alafu akija kuwa mzima ionekane nilimtelekeza akasomeshwa na wanadamu wengine? sikukubaliana na icho kitu.