Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
We unabahati kubwa Sana mshukuru Mungu kakufunua tabia yake mapema kabla ujafunga nae nadhiri, Katu usifanye kosa kuoa mtu mwenye hasira waoane wao wenyewe.Kwa maelezo hayo huyo mke ana mdomo mchafu ndo maana aliemzalisha ajamuoa kwa sababu ya mdomo. Hasara za kuoa mwanamke mwenye hasira
1.Huwa na mdomo mchafu kauli chafu zisizostaha hata mbele za watu.
2.Ni watukanaji hili ndio chanzo cha vifo vyao kwenye ndoa, mwanaume kapandwa hasira baada ya kutukanwa.
3.Wana visiriani
4.Wanafunga riziki Katu huwezi fanikiwa kimaisha , malaika mleta riziki Katu akai nyumba yenye shari vurugu, hata kama ulikuwa na kipato kabla yake ni lazima kiyeyuke.
5.Hawana staha heshima anaweza akakuvua nguo mbele za watu.
6.Wanataka wawe juu yaani kumnyong'eza mwanaume awe chini kwa kuogopa maneno makali
7.Utakufa mapema kwa maradhi ya moyo, pressure, kisukari,kuishiwa nguvu za kiume kupooza nk haya ni maradhi usababishwa na kauli chafu toka kwa mwenza.
8.Chance ya talaka ni kubwa maana utajiona upo jela isiyo kikomo, maana kuishi na mtu mwenye kauli chafu ni ngumu labda uwe na elimu ya kutosha kuhusu Roho ni ngumu Sana kuibadili tabia ya mtu.
9.Utakuwa na watoto wasio na maadili kwa maana ya watukanaji wanaiga kwa mama yao,
10 Utadharauliwa na mke, watoto hadi dada wa kazi
11.Ndugu, marafiki zako kuona kwako kituo cha police sababu ya mke mwenye hasira au mdomo mchafu Hakuna atakae waza au kuja kukutembelea.
11.
12.
13.
Huwezi ishi na mtu mwenye hasira hawa inafaa waishi wenyewe labda kama utaweza kumtoa shetani aliyendani mwake anaye utawala ulimi wake na roho yake, yaani uifunge ile roho ya hasira yaani uitibu roho yake uisafishe iwe safi Ili aweze kufaa kuwa mke yaani ni SAwa na kuformat mfumo wake mzima wa malezi yake kumbuka umekutana nae ukubwani hapa ni lazima uwe na hekima na pia uwe na elimu ya jinsi ya kuisafisha roho na moyo watu mtu.
Hapa ni lazima uwe Guru au Jesus au ufikie level ya Maturity ndo utaweza, maana tabia ni ngozi japo mwanadamu sio static anaweza akibadilika akawa mwema pia.
Kama wewe sio maturity Acha kuoa au kuolewa na mtu mwenye hasira shughuli yake pevu kwenye ndoa, utakufa ukiwa young kwa stress labda tu uwe na filter yaani kizuizi uwezo wa kublock maneno machafu yasiingie kwenye moyo wako, yaani uwezo wa kuyaruhusu yapite na yasihifadhike kwenye memory disc ya brain yako.