Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

We unabahati kubwa Sana mshukuru Mungu kakufunua tabia yake mapema kabla ujafunga nae nadhiri, Katu usifanye kosa kuoa mtu mwenye hasira waoane wao wenyewe.Kwa maelezo hayo huyo mke ana mdomo mchafu ndo maana aliemzalisha ajamuoa kwa sababu ya mdomo. Hasara za kuoa mwanamke mwenye hasira
1.Huwa na mdomo mchafu kauli chafu zisizostaha hata mbele za watu.
2.Ni watukanaji hili ndio chanzo cha vifo vyao kwenye ndoa, mwanaume kapandwa hasira baada ya kutukanwa.
3.Wana visiriani
4.Wanafunga riziki Katu huwezi fanikiwa kimaisha , malaika mleta riziki Katu akai nyumba yenye shari vurugu, hata kama ulikuwa na kipato kabla yake ni lazima kiyeyuke.
5.Hawana staha heshima anaweza akakuvua nguo mbele za watu.
6.Wanataka wawe juu yaani kumnyong'eza mwanaume awe chini kwa kuogopa maneno makali
7.Utakufa mapema kwa maradhi ya moyo, pressure, kisukari,kuishiwa nguvu za kiume kupooza nk haya ni maradhi usababishwa na kauli chafu toka kwa mwenza.
8.Chance ya talaka ni kubwa maana utajiona upo jela isiyo kikomo, maana kuishi na mtu mwenye kauli chafu ni ngumu labda uwe na elimu ya kutosha kuhusu Roho ni ngumu Sana kuibadili tabia ya mtu.
9.Utakuwa na watoto wasio na maadili kwa maana ya watukanaji wanaiga kwa mama yao,
10 Utadharauliwa na mke, watoto hadi dada wa kazi
11.Ndugu, marafiki zako kuona kwako kituo cha police sababu ya mke mwenye hasira au mdomo mchafu Hakuna atakae waza au kuja kukutembelea.
11.
12.
13.
Huwezi ishi na mtu mwenye hasira hawa inafaa waishi wenyewe labda kama utaweza kumtoa shetani aliyendani mwake anaye utawala ulimi wake na roho yake, yaani uifunge ile roho ya hasira yaani uitibu roho yake uisafishe iwe safi Ili aweze kufaa kuwa mke yaani ni SAwa na kuformat mfumo wake mzima wa malezi yake kumbuka umekutana nae ukubwani hapa ni lazima uwe na hekima na pia uwe na elimu ya jinsi ya kuisafisha roho na moyo watu mtu.
Hapa ni lazima uwe Guru au Jesus au ufikie level ya Maturity ndo utaweza, maana tabia ni ngozi japo mwanadamu sio static anaweza akibadilika akawa mwema pia.
Kama wewe sio maturity Acha kuoa au kuolewa na mtu mwenye hasira shughuli yake pevu kwenye ndoa, utakufa ukiwa young kwa stress labda tu uwe na filter yaani kizuizi uwezo wa kublock maneno machafu yasiingie kwenye moyo wako, yaani uwezo wa kuyaruhusu yapite na yasihifadhike kwenye memory disc ya brain yako.
 
Utakiwi kumbadilisha mtoto asiwe wako ubini wake, we utabakia kuwa baba mlezi na sio baba mzazi. Labda tu kwa ridhaa ya mama yake na ukidhitisha baba yake hayupo, ajulikani wala familia yake uifahamu.
 

Piga chini kaka single mother’s always ni wangese sana unaweza kuta lijamaa halihudumii chochote na wanakutana wanapiga show kama kawaida mzee
 
Aiseee
 
Tuanzishie Uzi mkuu
Tujifunze
 
Mkuu tunaomba mrejesho
 
Sasa ni mtu mzima kwa miaka yangu napaswa kuwa na familia lakini niko mwenyewe sio kwa kupenda la hasha

nilipata familia miaka 6 iliyopita baada ya miez kadhaa ya mtoto kuzaliwa ukweli ukajitokeza kwamba mtoto akiwa damu yangu
Mwanaume nikakaza nikaamua kumlea sikutaka kuipoteza familia nzuri niliyoianzisha

Hii leo tumeachana ,matokeo yake nimekosa kila kila kitu..,
Mtoto niliyempenda kwa dhati nashindwaa hata kusimama kumdai wala kuhusika kwenye maisha yake tena.., sababu ya damu sio yangu

Ushauri kwa mtoa mada kisicho chako usitake kukimiliki utabaki na maumivu makubwa sana

Nawasilisha japo sio mwandish mzuri ila mada imegusa maisha yangu sana
 
Safi sana yani anakwambia uzae wako kama hudindi vile ***** zake
 

Mi namtetea bro, hii ni kumuonesha kuwa hatakiwi kutelekeza kizazi chake, wapo wanaume watacare na pia kujaribu kubadili jina ilikuwa ni kipimo kizuri kabisa kwa huyo single mother kuwa moyo wake upo wapi, imeonesha kabisa moyo wa single maza upo kwa huyo fala aliyemwacha

Wakurya huoa single ,mother na kubadili majina ya watoto, kama hutaki udhaifu watoto wako wasibadilishwe majina na kuhudumiwa na dume lingine inapasa uhudumie na kujali fullstop.
 
Mzee unastahili kabisa kuchukua ubini wa huyo mtoto pasi na shaka hasa kama umetoka nae mbali kiasi hicho yaani toka akiwa na mwaka mmoja, huyo angekuwa na mapenzi na wewe na kwa care unayompa mtoto wake angekuwa keshakuzalia siku nyingi na maisha yanakwenda

Kuwa makini na hiyo familia usije kuta unatumika kutimiza malengo yao na badae unamaliza nguvu zako kuhudumia watu wasio na faida kwako, kuwa makini sana tena chukua maamuzi magumu.
 
Duh
 
Duh[emoji119]
Haya mambo haya
Btw,hongera kwa maamuzi
 
Hawezi haribikiwa
Hutujui vzr wanawake!

Itaku-cost hapo mbele....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…