Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Hio kazi ya kuandika majina kwenye daftari za mtoto wa watu nani kampa?Mtoa maada sijaelewa kabisa hapo ugomvi uko wapi? Kwanza Baba unapata wapi muda wa kuandika majina kwenye madaftari ya mtoto? Unajaladia nn?[emoji23][emoji23] Nadhani tatizo limeanzia hapa
Kwa kweli inakera sana kulea mtoto ambaye si wako, mbaya zaidi utakuta aliyemzalisha anakula bata tu kuhudumia mtoto hataki na majukumu yote umeachiwa wewe.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Na yeye huyo aliyezalisha kwa nini asihudumie mtoto wake?Wewe ndo mwenye matatizo utampaje jina mtoto asiye wako kama vile sperm zako haziwezi totolesha
Naunga mkono hoja.Usimlipie ada
Akikuita baba mwambie Mimi sio baba yako
Usimpe zawadi
Mtie mimba,mama yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama angekuwa anajielewa angetulia asingezaa na vibaka wanaoshindwa kuhudumia watoto,
Wewe nae hujitambui tu unaoaje mwanamke mwenye mtoto wakati kuna watoto wazuri mtaani hawajazalishwa? Huyo bado anampenda baba wa mtoto wake fukuza wote na ukome kutaka kuoa single mamaNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Huu ndio msimamo wangu pia.Jina la ubini wa baba ni Cheo cha heshima anachobeba mtoto kwa heshima ya baba!
Baba aliyepambana usiku na mchana kuhakikisha mtoto unaendelea kuwa hai, mwenye afya, mwenye kukua na kupata mahitaji yote ya kijamii
Kutelekeza mtoto ni kupoteza haki zako zote mbele ya mtoto
Mtoto aliyetelekezwa anaingizwa kwenye jamii mpya inayomtunza, na kumkuza
Niwakumbushe tu, watoto wengi wanazaliwa na wababa wa nje ya ndoa lakini wanatumia ubini wa baba mwenye ndoa,
Niwakumbushe tu watoto wengi walibadilishiwa ubini ili kurisiti mitihani ya darasa la Saba enzi zile
Niwakumbushe tu, wanawake hapo zamani ndani ya ajira zao ( mama yangu kwa mfano) walibadili ubini na kuchukuwa ubini wa mume
Masingle mother wawe na shukrani kwa waume wanaojitoa kulea watoto waliotelekezwa, wawaruhusu kujenga muunganiko na watoto Hawa kwa kutumia ubini wa baba
Ni vema ukaamua kutafuta mtu ambae atakuheshimu ndoa sio kitu cha lelemama mwanamke bora na mzuri ni yule ambae hata ongea yake mjibu yake kwa mume yanaridhisha lkn kwa majibu kama hayo it means anapanga kukutawala na pengine anapata ushauri kutoka kwa marafiki wsiofaa ikiwa umechukua jukumu la kumlea mwanae na kumhudumia lkn ndo majibu ya ivo hapana ifike wakat status ya mwanaume anaejiheshimu iheshimiwe na mke piaNatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Majibu ya dada zetuNdio. Baba mzazi atalipa ada. Nani alikwambia ujipendekeze kulipa na kununua madaftari kwa gia ya kubadilisha ubini wa mtoto.
Endelea na ratiba zako huku ukineemesha mbegu za uzazi upate mtoto wa kumwita ubini wako huko mbele ya safari.
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Ndio haoHivi na wewe na pumbu zako unawezaje kumpa ubini wako mtoto asiye wako bila hata kuongea na mama yake mkakubaliana,kiherehere chako cha kujilipisha ada ndo umnyang'anye mtoto haki zake
Kiufupi hata kama huyo mwanamke unamuona cheap kiasi hiko lakini na wewe ni mjinga mmoja tu
Na sioni haja ya kusitisha huo uhusiano otherwise utoto unakusumbua
Mwanamke kama hajataka,hiyo mimba unampaje mkuu? Labda wewe una mbinu! Vidonge ,vipo,akikosea hesabu zake,ikiingia, anatoa. Utamzaaje mtoto wako bila mwanamke kupitisha dokezo lako?Usimlipie ada
Akikuita baba mwambie Mimi sio baba yako
Usimpe zawadi
Mtie mimba,mama yake
Yes,hakuna kuyumba japo na wewe usingetaka kuandika jina ambalo mtoto si wako,ila kupitia hicho umejifunza kitu.Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.