Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mtoa maada sijaelewa kabisa hapo ugomvi uko wapi? Kwanza Baba unapata wapi muda wa kuandika majina kwenye madaftari ya mtoto? Unajaladia nn?[emoji23][emoji23] Nadhani tatizo limeanzia hapa
Hio kazi ya kuandika majina kwenye daftari za mtoto wa watu nani kampa?
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Kwa kweli inakera sana kulea mtoto ambaye si wako, mbaya zaidi utakuta aliyemzalisha anakula bata tu kuhudumia mtoto hataki na majukumu yote umeachiwa wewe.

Ukisema basi sawa acha nimlee kama wakwangu na atumie ubini wangu tatizo litaanzia hapo.

Suluhisho mtoto apelekwe kwa baba yake ,kinyume na hapo usihusishwe na chochote kuhusu yeye wakitaka hivyo basi wakubali kumbadilisha ubini .
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Wewe nae hujitambui tu unaoaje mwanamke mwenye mtoto wakati kuna watoto wazuri mtaani hawajazalishwa? Huyo bado anampenda baba wa mtoto wake fukuza wote na ukome kutaka kuoa single mama
 
Jina la ubini wa baba ni Cheo cha heshima anachobeba mtoto kwa heshima ya baba!
Baba aliyepambana usiku na mchana kuhakikisha mtoto unaendelea kuwa hai, mwenye afya, mwenye kukua na kupata mahitaji yote ya kijamii

Kutelekeza mtoto ni kupoteza haki zako zote mbele ya mtoto

Mtoto aliyetelekezwa anaingizwa kwenye jamii mpya inayomtunza, na kumkuza

Niwakumbushe tu, watoto wengi wanazaliwa na wababa wa nje ya ndoa lakini wanatumia ubini wa baba mwenye ndoa,

Niwakumbushe tu watoto wengi walibadilishiwa ubini ili kurisiti mitihani ya darasa la Saba enzi zile

Niwakumbushe tu, wanawake hapo zamani ndani ya ajira zao ( mama yangu kwa mfano) walibadili ubini na kuchukuwa ubini wa mume

Masingle mother wawe na shukrani kwa waume wanaojitoa kulea watoto waliotelekezwa, wawaruhusu kujenga muunganiko na watoto Hawa kwa kutumia ubini wa baba
 
Wote mna makosa, hukupaswa kumpa jina bila kujadili na mama, na pia Kama baba ake yupo pia alipaswa julishwa unless katelekeza mtoto.
Ila mwishoni maamuzi yako yalikuwa vizuri, ulitenda kulingana na reaction yake kuonesha si wa kuaminiwa.
 
Jina la ubini wa baba ni Cheo cha heshima anachobeba mtoto kwa heshima ya baba!
Baba aliyepambana usiku na mchana kuhakikisha mtoto unaendelea kuwa hai, mwenye afya, mwenye kukua na kupata mahitaji yote ya kijamii

Kutelekeza mtoto ni kupoteza haki zako zote mbele ya mtoto

Mtoto aliyetelekezwa anaingizwa kwenye jamii mpya inayomtunza, na kumkuza

Niwakumbushe tu, watoto wengi wanazaliwa na wababa wa nje ya ndoa lakini wanatumia ubini wa baba mwenye ndoa,

Niwakumbushe tu watoto wengi walibadilishiwa ubini ili kurisiti mitihani ya darasa la Saba enzi zile

Niwakumbushe tu, wanawake hapo zamani ndani ya ajira zao ( mama yangu kwa mfano) walibadili ubini na kuchukuwa ubini wa mume

Masingle mother wawe na shukrani kwa waume wanaojitoa kulea watoto waliotelekezwa, wawaruhusu kujenga muunganiko na watoto Hawa kwa kutumia ubini wa baba
Huu ndio msimamo wangu pia.
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Ni vema ukaamua kutafuta mtu ambae atakuheshimu ndoa sio kitu cha lelemama mwanamke bora na mzuri ni yule ambae hata ongea yake mjibu yake kwa mume yanaridhisha lkn kwa majibu kama hayo it means anapanga kukutawala na pengine anapata ushauri kutoka kwa marafiki wsiofaa ikiwa umechukua jukumu la kumlea mwanae na kumhudumia lkn ndo majibu ya ivo hapana ifike wakat status ya mwanaume anaejiheshimu iheshimiwe na mke pia
 
Majina mengine yanatisha,we mwenyewe jiulize uliitwaje ngwengwe na wazazi wako.
Eti dr Ngwengwe
 
Ndio. Baba mzazi atalipa ada. Nani alikwambia ujipendekeze kulipa na kununua madaftari kwa gia ya kubadilisha ubini wa mtoto.

Endelea na ratiba zako huku ukineemesha mbegu za uzazi upate mtoto wa kumwita ubini wako huko mbele ya safari.
Majibu ya dada zetu
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30

Tuanze na ww unaona uko sawa??
Hiyo huwa inafanywa kwa hiari au makubaliano!!

Unakua kama mtoto umem adopt
 
Hivi na wewe na pumbu zako unawezaje kumpa ubini wako mtoto asiye wako bila hata kuongea na mama yake mkakubaliana,kiherehere chako cha kujilipisha ada ndo umnyang'anye mtoto haki zake
Kiufupi hata kama huyo mwanamke unamuona cheap kiasi hiko lakini na wewe ni mjinga mmoja tu
Na sioni haja ya kusitisha huo uhusiano otherwise utoto unakusumbua
Ndio hao
 
Mwanamke mwenye mtoto hasa wa kiume sio wa kuoa baba utapashida wengi wao wanaleta mgogorowa familia.
 
Usimlipie ada
Akikuita baba mwambie Mimi sio baba yako
Usimpe zawadi
Mtie mimba,mama yake
Mwanamke kama hajataka,hiyo mimba unampaje mkuu? Labda wewe una mbinu! Vidonge ,vipo,akikosea hesabu zake,ikiingia, anatoa. Utamzaaje mtoto wako bila mwanamke kupitisha dokezo lako?
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.

Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.

Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80, sms 30
Yes,hakuna kuyumba japo na wewe usingetaka kuandika jina ambalo mtoto si wako,ila kupitia hicho umejifunza kitu.
 
Back
Top Bottom