Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Kaba hapo hapo, ukiachia hapo kuna cross itapikwa hapo mzazi mwenzie anatengenezewa empire ili awe anapasha kiporo.
Sasa chini au upoteze alama za mzazi mwenziwe mapema

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
Kwani mkuu kitugani kilikufanya ubebe majukumu ya mtu mwingine wakati huyo mtu yupo? Na siyo ndugu yako wala siyo husikubal kubebesha zigo la mtu huyo mtoto lazima atakuwa na Baba zake wadogo na wakubwa na shangaz zakekwanini wao wasibebe mzigo wao?
 
Kama angekuwa anajielewa angetulia asingezaa na vibaka wanaoshindwa kuhudumia watoto,
Wewe huyo mtoto akuusu kabisa we Fanya yanayo kuusu kujenga familia yako kuusu maitaji ya mtoto wausika watawajibika wao
 
Kwani mkuu kitugani kilikufanya ubebe majukumu ya mtu mwingine wakati huyo mtu yupo? Na siyo ndugu yako wala siyo husikubal kubebesha zigo la mtu huyo mtoto lazima atakuwa na Baba zake wadogo na wakubwa na shangaz zakekwanini wao wasibebe mzigo wao?
Tayari zigo nimeshalitua ndugu yangu ,nilimuonea huruma baada ya mzazi mwenzake na ndugu wa jamaa kukataa mimba
 
Safi Sana, mtu single mother umepata mtu wa kukuinua then unaleta za kuleta! Blood fucking ass. Sasa arudi tu kwa huyo aliyemzalisha.
 
Nimeshatoa maamuzi kwa mwenzenu amebaki analilia na kuomba msamaha
Nakuambia huna uwezo wa kumiliki mke na familia wewe,wewe ni mtu mwenye maamuzi ya kukurupuka Sana,na hili litakugalimu Sana katika maisha yako,unaonekana kupenda kufikia hitimisho bila kufikirisha ubongo wako,kwanza umekurupuka kwenda kubadili ubini wa mtoto bila idhini ya mwenzako,na bado umekurupuka kumuhukumu mwenzako kwa mawazo ya mitandaoni.

Wewe ni hasara Sana katika taifa hili
 
Ushaambiwa usioe single mother unajitia kichwa ngum, huyo mamaa hakupendi na hana akili, ye kukwambia zaa wako muite hivyo ni ishara kuwa upendo anaompenda mtoto wake we huna ata kidogo, na ukimzalisha ataona ni kama watoto wako wake ni huyo moja
 
Maamuzi ndio yameshatoka na uwa sifanyi maamuzi kwa kufata ushauri wa mtu nashirikisha ubongo wangu, mwanamke hawezi kunipanda kichwani hata siku moja kwangu utaishi kwa sheria na taratibu..unasema Hasara katika taifa wakati nimeajiri watu zaidi ya 200,
 
Ukigeuka nyuma jua umeumiaaa...!!! Msimamo huo huo akatafute baba ake amlelee maana hawezi leta maneno ya dharau hivyo na unamsaidia
 
Apo ndo kitaumana
 
Mtoto alimkataa amekata huduma tangu akiwa na mwaka 1 ,huo uchungu hautoe wapi?
Huyo dem hakupendi, kwa ulivyoeleza ni dhahili ata ukiwa nae hatokudhamini, wanawake ni wajanja sana na wanajua wanachofata kwa mwanaume, ukichunguza kwa kina ana mabwana wanaompiga sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…