Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

Kaka achana nae huyo Dada!yaani ukatae mtoto bado nkubembeleze Mimi huyuu!
Sijui nimeumbwaje aseehh!!nna roho mbaya sana!!yaani sina mda huoo! Huyo bado ana interest na mshikaji wake
Aiseee.... Kwa hiyo kumbe unanijua kabisa kuwa wewe una roho mbaya.

Hivi huwa unajisikiaje sasa kuwa na roho mbaya kwa binadamu wenzako?? Unapata Nini cha ziada kwa kuwa na roho mbaya.... Labda tujifunze kitu toka kwako.
 
Vijisenti vya ada? Mbona baba mzazi wa mtoto kashindwa kuvilipia?
Kalelewa mtoto wake toka ana mwaka 1 mpaka sasa hivi anayo 5

Halafu bado mnasema vijisenti
Huwa wanadharau hao eti vijisenti sema mshikaji nae alijichanganya sana ila kuishi na single mother lazima uwe na akili kubwa na ya tahadhari sana maana lolote linaweza tokea
 
Aiseee.... Kwa hiyo kumbe unanijua kabisa kuwa wewe una roho mbaya.

Hivi huwa unajisikiaje sasa kuwa na roho mbaya kwa binadamu wenzako?? Unapata Nini cha ziada kwa kuwa na roho mbaya.... Labda tujifunze kitu toka kwako.
Kwa huyo Dada wala sina cha kumtetea aseehh!!!muache apambane na hali yake angekua anajielewa asingekubali kumpoteza mwanaume aliyekubali kumsitiri kukataliwa mimba toka utotoni,wanawake tujifunze kuthamini watu wanaotupenda!
Pole Dada kama imekuchoma na roho mbaya niliyoongelea hapa ni kwenye maamuzi magumu kama huyo Dada asiejielewa!
 
Nia yako ilikuwa njema kabisa lakini usingekwenda mbali hadi kumfukuza! Kama huyo mkeo hakuwa mke wa njemba hiyo iliyozaa naye huyo mtoto,huyo ni mkeo mrudishe.
 
Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.

Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.

Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.

Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"

Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu

MREJESHO
Jana ugomvi ulikuwa mkubwa ila nilitumia busara nilikaa kimya sikusema chochote alienda mbali zaidi akasema tuachane kimoyo moyo nikasema umeisha.
Leo asubuhi amekuja na mama yake mzazi kusuluhisha ugomvi binti amekiri kuwa amekosa zilikuwa ni hasira tu.
Maamuzi niliyochukua sikupepesa macho nilimwambia mama kuwa siwezi kuendelea na binti yako pia mahari niliyoitoa nimesahmee.
Mpaka sasa simu yangu ina missed call 80 ,sms 30
Wewe ndo mwenye matatizo,mwanamke yupo Sahihi kabisa,kama unaamua kumsomesha huyo mtoto wewe msomeshe tu,na ana haki ya kutumia ubini wa biological father wake,mpaka huyo mama kukataa wewe kutumika ubini wako kwa huyo mtoto, maana yake baba yake mzazi huyo mtoto hajamtelekeza.
 
Baba Ni kulea sio kuzaa.mimi Ni mwanamke,simsemi vibaya mwanamke mwenzangu Ila Ni fala na uamuzi uliochukua wa kumpiga chini Ni mzuri Sana nakupongeza.Wanawake tuone hivihivi sisi sio binadamu kabisa Ila tuna vichembechembe vya binadamu.
Mwanamke yupo Sahihi kabisa! Na mpaka kufikia hatua hiyo maana yake huyo mwanaume aliyezaa naye huyo mtoto hajamtelekeza au kumkana mtoto,angekuwa amemtelekeza wala huyo mwanamke asinge doubt kuhusu huyo mtoto kutumia ubini wa baba yake wa kambo.
 
Sasa kwan ni mwanao huyo??!Akil muhim mkuu usijifanye unajua kupenda hivyo ...baba yake halis yupo na ukoo wake huyo dogo upo..sasa unataka umpore maisha yake yawe yako
Hapo ndo wengi hufail,yeye kama ameamua kumsomesha,amsomeshe atakapokuwa mtu mzima atachuja mwenyewe,yupi ni baba bora,kati ya aliyemsomesha na baba yake mzazi
 
Hapana huyo Dada nae anakosea aseehh!Mimi kama baba halijielewei nabadilisha tu aende kokote akikua atajua kwa nini mmefanya hivyoo!
Mimi ningekubalia kabisaa!!kampata mtu wa kumsaidia then analeta ujinga itakula kwake!!
Hilo limwanamke ni lijinga sana sana

Hivi wewe umezalishwa limwanaume lililokuzalisha halitunzi mtoto, unapata mwanaume wa kukusaidia afu unajibu utopolo kisa kakwambia kubadili ubini wa mtoto[emoji849][emoji849]

Unawaka kabisa kwa kuchana daftari na kutukana juu, huyo mwanamke hampendi huyu mleta uzi

Mleta uzi piga chini hilo kahaba, mpaka lije liokotwe tena si leo wala kesho [emoji848][emoji848]
 
Ndio. Baba mzazi atalipa ada. Nani alikwambia ujipendekeze kulipa na kununua madaftari kwa gia ya kubadilisha ubini wa mtoto.

Endelea na ratiba zako huku ukineemesha mbegu za uzazi upate mtoto wa kumwita ubini wako huko mbele ya safari.
Yani huyo jamaa ni popoma sana aisee! Anajifanya anatoa msaada, wakati msaada wenyewe hautoki moyoni kumsaidia huyo mtoto, anautoa kwa masharti .
 
Halafu jina ndo anaona ana uchungu nalo!!!yàni mwanaume akatae mtoto then nimpe ubin wake!jinga hilo demu
Unajua nini huyo mwanamke bado anampenda huyo mwanaume aliyemzalisha na bado anamt.omba tena buuure!

Si unajua zile si wanawake tuna kale katabia ka kuzaa na mwanaume unayempenda na kumpa Chiu bure unayempenda, ndo vinamtesa huyo malayaa, ila ni lijinga kwa hapa alitakiwa atumie akili zaidi

NB:

Itakuwa ni pisi kali hiyo
 
Dah mwanamke mwenzetu huyo ujue..
Kosa moja na kuachwa juu
Q
Hata kama weee ni single maza mwanaume hana haki ya kubadili jina la mwanao bila kukaa na wewe kwanza na kujadiliana.
Angechukulia tu kibinadam amsamehe kwa kuwa ameomba msamaha kwa majibu mabaya
Alivyoona anaachwa ndo kaonba msamaha, tena yy alimtamkia kuwa waachane
 
Kwa kweli tunashukuru kuwa Kuna baadhi ya wanaume pia wanaliona hili kwa upeo huu. Asante sana Ndama Jeuri
Yeye kama ameamua kumsomesha mtoto amsomeshe tu bila masharti yoyote yale,asiponufaika na elimu ya mtoto anayompa sasa watanufaika wadogo zake,atakaozaa nao na huyo mama.inahitaji uwe na upeo mpana sana wa kufikiri Leo na kesho!
 
Back
Top Bottom