😀Mzee limbwata sio mchezo,kila unachoambiwa unaona unaonewa!....jokes.Niende kwenye hoja ,kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya Mara siyo lika ,lako Mara ni mfanyakazi atakunyanyasa ,Mara mchoyo ,Mara hapendi ndugu, Sasa Kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa????
Binafsi sipendagi ujinga Kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu Sasa ili tuone hatima yake
Nawasalimu kwa jina la jamhuri..
JOSE anahitaji maombi.jaman..aliniudhi balaaUna msimamo kama Jose wa Kigogo wa Hekaheka za Geah Habibu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla hujaanza kujitegemea,ulikuwa unawaza kama hivyo?..Pale ambapo utamuhusisha sana mkeo na ndugu ndio hupelekea mazoea hayo. Principles zangu,
1. Mke ni wangu na hawezi kuwaridhisha ndugu zangu wote japo hawezi wadharau,
2. Sijazi ndugu nnapoishi na mke wangu, mimi, mke na watoto..kuja kusalimia sawa ila sio kuishi pamoja
3. Nasaidia ndugu wakiwa mbali sio kuchagamana nao,
4. Mambo ya familia/ndugu nawambia wanitafute mimi, kila ndugu yako akiwa na ukaribu na mkeo kwa familia za kiswahili ataambiwa mambo yako mpaka ya utoto, weka mipaka
5. Above all, wazazi wangu ni muhimu kuliko mtu yyte, ninapofanya mambo yawahusuyo inabidi atulie!
N.B mke sio ndugu yako, ni life partner, hivyo basi ishi nae kwa akili usivuruge ndoa kwa ajili ya ndugu zako and virse versa is true!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipiangalia atawatenga kabisa ndugu zakeLimbwata @ work. Kila mtu ana sehemu na umhimu wake. Mke kwa wakati wake na ndugu kwa wakati wao.
Ndugu ndio walikuwa wanauza mihogo walipe ada hadi ukakutana na huyo slay queen.