Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Nilichojifunza katika maisha mpaka sasa ni kwamba, watu hupenda kuzungumza yale yanayoweza kuwafurahisha nafsi zao hata kama wewe yanakukera.kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Mtu anaweza kukusema vibaya kwa kuwa ndoa yako haina mtoto, lakini yeye mwenye watoto amezaa vibaka na makahaba watupu ila wewe usiya na watoto unafanya kazi BOT kama Manager na yeye ni fundi seremala huko Mbagala na humsemi vibaya.