Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi iendeleeNiende kwenye hoja ,kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya Mara siyo lika ,lako Mara ni mfanyakazi atakunyanyasa ,Mara mchoyo ,Mara hapendi ndugu, Sasa Kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa????
Binafsi sipendagi ujinga Kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu Sasa ili tuone hatima yake
Nawasalimu kwa jina la jamhuri..
🤣🤣🤣 hapa mjini nimeona style moja, wakaka wengi mke akijifungua anamtafutia mti mzima au nurse mstaafu wa kumuhudumia, mama mkwe na mawifi hukooo, sijajua kwa nini labda wakaka watuambie sababuUmeandika kwa hisia na hasira sana..
Kama nakuona vile unavyofoka
Ni kweli haipendezi kuingilia mambo ya ndoa za watu,unakuta mke kajifungua ndugu mbiombio mtoto sio was ndugu yetu huyu..huu mdomo kautoa wapii...khaa!
Mawifi siku hizi wamegeuka DNA za kaka zao
Hahaa Mi siku nkipata mtoto ntafanya hivohivo..kuna baadhi ya ndugu NI nuksi maradufu.kuna mwenzangu ye yamemkuta hayo hana hamu.eti Wifi kaja anamuogesha mtoto wake wa miaka 2 akaanza kumzungusha vile yupo uchi eti "ohh huyu mtoto hafanani kabisa na naniliu(kakake)..yaani hawafanani kabisa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa mjini nimeona style moja, wakaka wengi mke akijifungua anamtafutia mti mzima au nurse mstaafu wa kumuhudumia, mama mkwe na mawifi hukooo, sijajua kwa nini labda wakaka watuambie sababu
Mimi mjaluo wa mjini ile shida sina hahahahaaaaMmh huko ujaluoni bana shida yenu moja....nilishakuambia 😂
Unaepusha shari na misongamano isiyokuwa ya lazima🤣🤣🤣 hapa mjini nimeona style moja, wakaka wengi mke akijifungua anamtafutia mti mzima au nurse mstaafu wa kumuhudumia, mama mkwe na mawifi hukooo, sijajua kwa nini labda wakaka watuambie sababu
Kazi kwelikweli, kwa sasa naona mjini hawakaribishi mawifi wala mama mkwe, kuna mmoja aliniambia amemuajiri nurse mstaafu kumuhudumia mzazi na anamlipa shilingi laki tatu kwa mwezi, baada ya mwezi mke anakua ameshakua sawa anasaidiwa na dada wa kazi, anasema kuna wakati mama yake mzazi alikuja kumuhudumia mke wake nyumba haikukalika, mke akipikiwa supu mama anasema mnatumia gharama nyingi, mke akitaka matunda mama anasema anajidekeza, mke akilala mama anasema mzazi huyu legelege, mama anapanga ratiba ya chakula ambayo wao hawajaizoea, mama anademand mpaka wanajuta, gharama za maisha zikawa kubwa na wakato mama anaondoka kurudi kijijini anadai na hela ya mtaji akafanye biashara, bado hujamfanyia shopping, bado nauli, na mambo mengine mengi, anasema alikwazika ila walavumilia muda ulipoisha mama akaondokaHahaa Mi siku nkipata mtoto ntafanya hivohivo..kuna baadhi ya ndugu NI nuksi maradufu.kuna mwenzangu ye yamemkuta hayo hana hamu.eti Wifi kaja anamuogesha mtoto wake wa miaka 2 akaanza kumzungusha vile yupo uchi eti "ohh huyu mtoto hafanani kabisa na naniliu(kakake)..yaani hawafanani kabisa"
Huu si ushetani lakini?
Huyu mama mmhhKazi kwelikweli, kwa sasa naona mjini hawakaribishi mawifi wala mama mkwe, kuna mmoja aliniambia amemuajiri nurse mstaafu kumuhudumia mzazi na anamlipa shilingi laki tatu kwa mwezi, baada ya mwezi mke anakua ameshakua sawa anasaidiwa na dada wa kazi, anasema kuna wakati mama yake mzazi alikuja kumuhudumia mke wake nyumba haikukalika, mke akipikiwa supu mama anasema mnatumia gharama nyingi, mke akitaka matunda mama anasema anajidekeza, mke akilala mama anasema mzazi huyu legelege, mama anapanga ratiba ya chakula ambayo wao hawajaizoea, mama anademand mpaka wanajuta, gharama za maisha zikawa kubwa na wakato mama anaondoka kurudi kijijini anadai na hela ya mtaji akafanye biashara, bado hujamfanyia shopping, bado nauli, na mambo mengine mengi, anasema alikwazika ila walavumilia muda ulipoisha mama akaondoka
Kuanzia hiyo siku hajawahi kumwita mama wala ndugu kumuhudumia mkewe, wanacheza show wenyewe na maisha yanasonga
Hahhaa ila nimecheka jamani, eti akiona mtoto ameshika soda anampush, watu wengine wana tabu sana, sijui huwa mentality zao zimejaa kitu ganiHuyu mama mmhh
Mi kuna kitu sielewi,inkuwaje unakaribishwa kwenye nyumba ya mwingine halafu unaanza kuwapangi a vile unavotaka wewe waishi?
Hata huyu pia hivohivo.mgeni ni Wifi anafokafoka tu hii nyumba mnakula ovyoovyo.kisa ye msabato akiona mtoto kashika soda anampush huko.akiona keki hataki
Ye anataka mpike makande tu na mboga za majani.hataki nyama wala samaki wala dagaa
Naona ni chuki tu.kuvimba upo kwa ndugu yako.anakuona hadi mke si kitu kwenye hiyo nyumbaHahhaa ila nimecheka jamani, eti akiona mtoto ameshika soda anampush, watu wengine wana tabu sana, sijui huwa mentality zao zimejaa kitu gani
Undugu lawamaNaona ni chuki tu.kuvimba upo kwa ndugu yako.anakuona hadi mke si kitu kwenye hiyo nyumba
Mkuu acha masihara utakaoa kadada kako kweli .Niende kwenye hoja ,kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya Mara siyo lika ,lako Mara ni mfanyakazi atakunyanyasa ,Mara mchoyo ,Mara hapendi ndugu, Sasa Kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa????
Binafsi sipendagi ujinga Kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu Sasa ili tuone hatima yake
Nawasalimu kwa jina la jamhuri..
Jina lako zuri kweli.Naona ni chuki tu.kuvimba upo kwa ndugu yako.anakuona hadi mke si kitu kwenye hiyo nyumba