Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Nilichojifunza katika maisha mpaka sasa ni kwamba, watu hupenda kuzungumza yale yanayoweza kuwafurahisha nafsi zao hata kama wewe yanakukera.kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Pole sana mkuu. Akina mama wengi hupenda watoto wao wa kiume waoe kwenye familia za mashosti zao lakini akina baba hawana time na hilo. Baba ukimpelekea mwanamke yoyote hana noma ilimradi mmependana tu baaas inatosha.Nakumbuka mama mkwe wangu aliwai kuja kusimamia kijana anifukuze eti acha akusanye kila kilichochake, mpishe kwanza....akamchukua wakatoka akijua kijana kanipa muda hatorudi siku iyo analala kwao 🤣🤣🤣🤣🤣 jioni mr akarudi Kwake km kawaida na mahaba na kuomba msamaha juu eti ndugu zangu waache ndoa ni mimi na wewe! Mama akagundua kijana hakulala kwao asubui saa 12 kafika eti mumeo yupo nkamwambia yupo akamfuata chumbani bado amelala hana habari nliona mama anatamani kulia
Khaaaa jamani, mwisho aingie chumbani akute upo juu ya kijana wake....Nakumbuka mama mkwe wangu aliwai kuja kusimamia kijana anifukuze eti acha akusanye kila kilichochake, mpishe kwanza....akamchukua wakatoka akijua kijana kanipa muda hatorudi siku iyo analala kwao 🤣🤣🤣🤣🤣 jioni mr akarudi Kwake km kawaida na mahaba na kuomba msamaha juu eti ndugu zangu waache ndoa ni mimi na wewe! Mama akagundua kijana hakulala kwao asubui saa 12 kafika eti mumeo yupo nkamwambia yupo akamfuata chumbani bado amelala hana habari nliona mama anatamani kulia
😂😂😂 Hii pembe tatu haiwezekani kubalance, haipo aseee...Kama kuna jambo linawatesa sana sisi akina baba ni kufanya mama mzazi, mke na dada zetu waive chungu kimoja. Huu ni mtihani mkubwa sana kwetu wababa.
Wewe, mama yangu na dada zangu mnaendana sana Evelyn Salt😂😂😂 Hii pembe tatu haiwezekani kubalance, haipo aseee...
Kutafuta hekima Kuna namna nyingi siyo Kama unavyofikiliItafute Hekima sana.kwa hiyo akili hata kuishi na mke huwezi
Ahsante sana....ila walishalazimika kunyamaza tunaishi ivo ivo kinafkiPole sana mkuu. Akina mama wengi hupenda watoto wao wa kiume waoe kwenye familia za mashosti zao lakini akina baba hawana time na hilo. Baba ukimpelekea mwanamke yoyote hana noma ilimradi mmependana tu baaas inatosha.
Kama kuna jambo linawatesa sana sisi akina baba ni kufanya mama mzazi, mke na dada zetu waive chungu kimoja. Huu ni mtihani mkubwa sana kwetu wababa.
Wanawake tunapata tabu jamani....bado maudhi ya mume,Khaaaa jamani, mwisho aingie chumbani akute upo juu ya kijana wake....
Bora siku ziende tu hilo ndilo la maana. Wake wa watoto wako wa kiume na wewe watakuja kukufanyia hivyo hivyo, na wao pia watoto wao watapitia hayo hayo yaaani ni cycle isiyoisha.Ahsante sana....ila walishalazimika kunyamaza tunaishi ivo ivo kinafki
Mmh huko ujaluoni bana shida yenu moja....nilishakuambia 😂
Sijui huwa kuna nini, ma mkwe, wifi, mke....Wanawake tunapata tabu jamani....bado maudhi ya mume,
Umenenaa kweliii,ni wanaume wapumbavuu tu wanaooa na kusemaa nduguzao hawawahitaji zaidi ya mke wakee ni ushenzi wa hali ya juuLimbwata @ work. Kila mtu ana sehemu na umhimu wake. Mke kwa wakati wake na ndugu kwa wakati wao.
Ndugu ndio walikuwa wanauza mihogo walipe ada hadi ukakutana na huyo slay queen.
Huna ulijualo kuhusu undugu na urafiki. Ni kweli usiruhusu ndugu wakaingilia mambo ya ndoa yako. Lakini mke si ndugu yako, huyo ni rafiki yako wa karibu sana, japo siku moja mkitengana anatajawa 'alikuwa mkewe'. Haitatokea ndugu yako ikasemwa 'alikuwa nduguye'. Ndugu ni watoto wako, si mkeo.Niende kwenye hoja ,kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia Mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisona vyuo vya ndoa.
Ninavyojua Mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote Kuna siku mnatofautiana
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya Mara siyo lika ,lako Mara ni mfanyakazi atakunyanyasa ,Mara mchoyo ,Mara hapendi ndugu, Sasa Kama mawifi ni wanafiki asiseme eti kwa sababu kaolewa????
Binafsi sipendagi ujinga Kama huo nikimuacha mke wangu NAOA ndugu Sasa ili tuone hatima yake
Nawasalimu kwa jina la jamhuri..
Akili itamrudi siku akiambiwa, 'umeshindwa kuelewana na ndugu zako mie ndio tutaelewana?'Itafute Hekima sana.kwa hiyo akili hata kuishi na mke huwezi