Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

Inasemwa hivi hakuna kitu kikubwa katika maisha kama attitude,,ndio maana tembo ni mkubwa kuliko simba na ana nguvu mingi lakini ni chakula ya simba

Simba ana attiude kwamba atamla tembo na ni chakula chake,,haijalishi tembo ni mkubwa kiasi gani

Na wasomi wengi wana skills lkn hawana mtazamo wa mafanikio ndio maana wasio kuwa na elimu wana positive attitude huwaajiri wasomi,,mfano bakharessa na wengineo

So it's all about attitude
 
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.
Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.
Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.
Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais , anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa. Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.
Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii mda wote kana kwamba mtumwa.
Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.

Si walisema ukipenda boga upende ya lake?

Wengine nao wakasema mapenzi upofu?

Inaweza kuwa huu wako ndiyo upofu wenyewe sasa; tena kwenye ubora wake.
 
Waliokupa hongera ni wajinga wenzako,
1. Yaani mke wako hajui wale wanalipwa hawafanyi kazi bure, umeona mpambe wa raisi kapandishwa cheo, unadhani atalipwa tena milioni 2 na marupurupu?
Sasahivi ata pata zaidi ya milioni 4 kwa mwezi. Na ana uhakika wa Bima ya maisha yake yote, na gari nzuri ya zaidi ya milioni 200 akistaafu, mazishi yatayosimamiwa vizuri. Connection na heshima nzuri. Hvo ndio vitu tunahitaji.
Sasa akae na wewe mpumbavu unayempa moyo eti hujasoma tunaishi nyumba ya 20 ml, tulifunga kiduka tutajenga nyingine hii tunapita. Fakn.

2. Katika familia yenu kama kweli mko sawa, acheni kufatilia watu wengine rizika na mlichonacho pambanieni furaha yenu, inshort, mkijifananisha na watu wengine yaani nyie ni mbwa tu. 20ml house, owning a retail shop, fkn zenu tena. Tafuteni maisha. Hamtaki utumwa ila nyie ni maskini. Kwa mnaojiringanisha. Kingine hujatuambia kazi yako, ww ni mtumwa au mtuma?

3. Nikurekebishe, kazi ya jeshi na polisi si kazi za kuamriwa, kula kitu kinafanywa katika muda wake, muda wa kazi ni kutimiza majukumu, kama majukumu yako wewe. Ya duka, familia na kijumba chako cha milioni 20.
Correct me if i am wrong.
Umeandika kitumwa....yahn hata kama mtumwa ila kwa vile nalipwa vizuri sawa sishangai wengi tupo hili kundi.
 
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.
Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.
Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.
Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais , anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa. Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.
Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii mda wote kana kwamba mtumwa.
Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.
Comments reserved
 
Ukioa mke angalia vipaumbele vyako mwenyewe.
Kuna watu wanasema waif lazima awe presentable mbele za watu, mwingine chura Mimi binafsi Nina flat screen yangu, inachakarika kuliko nyuki.
Waliooa wake wenye master's degrees na PhD Sasa hivi wanajuta, wanakunywa pombe sio kwamba wanapenda pombe.
 
Siyo kwamba anaakili sana ila we ndo kilaza zaidi yake mbona mambo uliyoandika ni ya kawaida tu ilitakiwa usishauriwe na mtu yeyote kama ubongo unafanya kazi
 
Nilichogundua wewe una wivu na hao wanaosimama nyuma ya rais.Ni mjinga pekee anayewasilisha mada Kwa mgongo wa mtu mwingine.pamoja na kwamba kazi za kuajiriwa zinakunyima uhuru lakini naamini wewe kwa fikra zako huwezi kulingana nao kimaisha na hao wanaosimama nyuma ya rais.maana wao wakienda nje wakikaa wiki wewe na biashara Yako ni mapato ya mwezi au miezi kadhaa.
 
Wewe na huyo mke wako ni wajinga wawili mlio kwenye penzi zito. Wote ni vipofu. Kimsingi huyo mkeo hana akili yoyote zaidi ya kuwa na inferiority complex kama vilaza wengine ambao hawakwenda shule. Kudharau kazi ya ADC wa Rais ni upumbavu usioelezeka. Nyumba ya 20m kwa Dar ni nyumba ya kimaskini. Na usikute hapo mlidunduliza na kujenga taratibu. Kumkataza mtoto kufanya anachopenda ni upuuzi mwingine. Mwanaume unatakiwa uwe miles nyingi sana kifikra kwa mkeo. Yeye akiwaza leo wewe uwe unawaza mwakani. Vinginevyo ataishia kukuvuruga. Usipojirekebisha utakuja na uzi mwingine wa kumlalamikia.
 
Wamama zetu wengi hawajasoma na mpaka leo wanaongoza familia kwa weledi na fikra ndefu
Ingawa vijana wengi wanakataa ndoa ila kuna wanawake wana uwezo sana kifikra kama wakiamua kuendeleza familia
 
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.
Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.
Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.
Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais , anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa. Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.
Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii mda wote kana kwamba mtumwa.
Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.
Mbona kawaida, maana wengi mama zetu hawakusoma vidato, waliishia STD 7 lak I wana akili na maono kuliko vibinti vyenye Master's na Degree 😢
 
Hongera kwa kuwa na mke bora kiongozi, Wengine wana mabumunda yanajua tu kuangalia mezani umeacha nini kila ukitoka, Kazi ni kukopakopa hela kwa wakopeshaji na Vikoba.
 
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.

Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.

Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.

Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.

Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais, anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa.

Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.

Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno Jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii muda wote kana kwamba mtumwa.

Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.
Hivyo ni gharama ya vyumba viwili. Usidharau shule kama vilaza akina Mbunge Msukuma
 
Waliokupa hongera ni wajinga wenzako,
1. Yaani mke wako hajui wale wanalipwa hawafanyi kazi bure, umeona mpambe wa raisi kapandishwa cheo, unadhani atalipwa tena milioni 2 na marupurupu?
Sasahivi ata pata zaidi ya milioni 4 kwa mwezi. Na ana uhakika wa Bima ya maisha yake yote, na gari nzuri ya zaidi ya milioni 200 akistaafu, mazishi yatayosimamiwa vizuri. Connection na heshima nzuri. Hvo ndio vitu tunahitaji.
Sasa akae na wewe mpumbavu unayempa moyo eti hujasoma tunaishi nyumba ya 20 ml, tulifunga kiduka tutajenga nyingine hii tunapita. Fakn.

2. Katika familia yenu kama kweli mko sawa, acheni kufatilia watu wengine rizika na mlichonacho pambanieni furaha yenu, inshort, mkijifananisha na watu wengine yaani nyie ni mbwa tu. 20ml house, owning a retail shop, fkn zenu tena. Tafuteni maisha. Hamtaki utumwa ila nyie ni maskini. Kwa mnaojiringanisha. Kingine hujatuambia kazi yako, ww ni mtumwa au mtuma?

3. Nikurekebishe, kazi ya jeshi na polisi si kazi za kuamriwa, kula kitu kinafanywa katika muda wake, muda wa kazi ni kutimiza majukumu, kama majukumu yako wewe. Ya duka, familia na kijumba chako cha milioni 20.
Correct me if i am wrong.
Nilikuwa natafuta comment kama ii ili nisirudie kuandika safi, mke mwenye maono mngekuwa na mali nyingi uo ni ushubwada anamiliki motivation speaker
 
Back
Top Bottom