Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wata achana tu...😑Wivu kwa mtoa mada😂
Anataka watu wote tufanane tusiajiriwe.Kwahiyo smartness ni kudharau kazi halali za wengine?
Wengine walikosa fursa ya kwenda shuleni tu kutokana na changamoto na mapito mbali mbali ktk maisha.Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.
Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.
Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.
Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais, anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa.
Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.
Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno Jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii muda wote kana kwamba mtumwa.
Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.
Ni wajinga tu wanaodharau ajira pengine sababu ya wivu tu.Kwahiyo smartness ni kudharau kazi halali za wengine?
Wee bila wadhungu kuna kitu mwafrika anaweza fanya ukiondoa kumtesa mwafrica mwenzi na kufurahiaSijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa ubora. Ndani ya muda mfupi nikafanikiwa kulifanya kwa ubora. Bila wife kunishauri nilidhamiria kulipua chap nimalize.
Nyumba hii tunayoishi imegharimu kama millioni 20, kwa mwanamke ambaye amekulia Kijijini angeona ni smart house lakini wife anaamini ni nyumba ya kupita tu na tutahama huu mtaa twende kwenye nyumba nyingine nzuri.
Kuna biashara ya duka tuliifanya mtaa fulani hapa Dar alinishauri jambo nikapuuza nikafanya kwa ubabe duka likafa.
Wife hajasoma, kaishia la saba lakini anawadharau mpaka wale wanaosimama nyuma ya Rais, anawaona ni wajinga sana, wanafanya kazi ya utumwa. Kumbe unaweza kuwa huna pesa lakini huna mind ya kitumwa.
Wife nilimuuliza ulipwe sh. ngapi utakubali body guard wa Rais akajibu hawezi kufanya kazi ya kusimama huku anayemlinda amekaa.
Mtoto wetu wa kwanza alikuwa anaimba kuhusu jeshi. Yaani anapenda kazi ya jeshi mno. Wife anamkataza kila akitamka neno Jeshi . Anamwambia kazi gani ya kuwa mtii muda wote kana kwamba mtumwa.
Kumbe utumwa uko kwenye fikra, na hauwezi kuondoka kwa kusoma.
Ndio maana mtu ana PhD lakini bado ni mtumwa wa Wazungu, anaamini bila wao nothing impossible.
Kuhusu upeo na akili huwa Ni nature Ila ELIMU ni Kama POLISHSijui niandike vipi aisee!

Mzee punguza ukali...umemfokea Sanaa 😊😊 jamaaaWewe na huyo mke wako ni wajinga wawili mlio kwenye penzi zito. Wote ni vipofu. Kimsingi huyo mkeo hana akili yoyote zaidi ya kuwa na inferiority complex kama vilaza wengine ambao hawakwenda shule. Kudharau kazi ya ADC wa Rais ni upumbavu usioelezeka. Nyumba ya 20m kwa Dar ni nyumba ya kimaskini. Na usikute hapo mlidunduliza na kujenga taratibu. Kumkataza mtoto kufanya anachopenda ni upuuzi mwingine. Mwanaume unatakiwa uwe miles nyingi sana kifikra kwa mkeo. Yeye akiwaza leo wewe uwe unawaza mwakani. Vinginevyo ataishia kukuvuruga. Usipojirekebisha utakuja na uzi mwingine wa kumlalamikia.
Wamekutana pipa na mfuniko.Anataka watu wote tufanane tusiajiriwe.
Hao walio ajiriwa ndio wanasababisha yeye apate nafasi ya kufanya biashara kwa amani ktk mazingira sahihi kibiashara.
Kukiwa na vita hizo biashara atafanya?
Kusipokuwa na askari muda wowote mnavamiwa mnaibiwa mali zenu.
Sana yake kwa kweliHongera kwako