Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

Mada yako ni nzuri ila umekosea kuongelea kazi za watu, ila hiyo nyumba ya ml 20 sio nyumba ni sehemu ya kuweka usingizi na kusindikiza maisha ya watu wenye nyumba.
 
Kwahiyo smartness ni kudharau kazi halali za wengine?
Anataka watu wote tufanane tusiajiriwe.
Hao walio ajiriwa ndio wanasababisha yeye apate nafasi ya kufanya biashara kwa amani ktk mazingira sahihi kibiashara.
Kukiwa na vita hizo biashara atafanya?
Kusipokuwa na askari muda wowote mnavamiwa mnaibiwa mali zenu.
 
Wengine walikosa fursa ya kwenda shuleni tu kutokana na changamoto na mapito mbali mbali ktk maisha.

Kosa tunalofanya ni kuamini kuwa kila ambaye hajasoma hana akili.

Kuna wengine ni vile tu baba zao walikuwa na hela z akuwapeleka shuleni lakino akili hawana
 
Wee bila wadhungu kuna kitu mwafrika anaweza fanya ukiondoa kumtesa mwafrica mwenzi na kufurahia
 
Kuhusu upeo na akili huwa Ni nature Ila ELIMU ni Kama POLISH

Mkeo mwambie apunguze ujivuni ATAKUA AMEKULA NA ANASHIBA VIZURI HAPO KWAKO natania...

Nikiwa mdogo mdogo niliwai kuigiza Kama bodyguard wa dogo mmoja ivi (yeye president Mimi bodyguard wake) motivation behind kuangalia muvi za kivita back in time television 📺 zimeanza anza mzee alipo kua anapita akanikuta nimeshika bunduki yangu namlinda president mzee akani mind Sana why nime opt kua MLINZI (Mzee alipenda Sana watoto wake tuwe watu wa maana shout out kwake)

Wasalaam
 
Mzee punguza ukali...umemfokea Sanaa 😊😊 jamaaa
 
Wamekutana pipa na mfuniko.
 
Kila mtu akiwa na akili za mkeo nani atalinda nchi? Halafu ishi na mwanamke kwa akili mno boss.
 
Kwa lugha rahisi unataka kutuambia umekubali kuolewa coz kila kitu anapanga yeye sahv na wewe bila kupepesa ubongo unatii tuu....ukiendelea hivyo soon utaandika uzi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…