Mkuu kma hutojali njoo pm tuongee nikusaidieHabari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani, nikamkuta mke wangu
Usiseme ivo wauane wakati msaada unaweza kupatikana m nimemwambia nitamsaidia kma hatojali wala sitaniiWote wachawi, katika uislam tunaamini majini hupanda Kwa watu waovu na washirikina.
We achana nao, waache warogane wauane wakuache upumzike.
Mtu yeyote yule atakaekua na shida kama hizi m akinambia naweza msaidia wala si uongo ni ponyo haswaaWote wachawi, katika uislam tunaamini majini hupanda Kwa watu waovu na washirikina.
We achana nao, waache warogane wauane wakuache upumzike.
Waache wauane Jimbo libaki wazi...unataka kuingilia vita ya ndugu? Waachie mambo yao.Usiseme ivo wauane wakati msaada unaweza kupatikana m nimemwambia nitamsaidia kma hatojali wala sitanii
laiti yangekukuta wewe wala usingesema ivoWaache wauane Jimbo libaki wazi...unataka kuingilia vita ya ndugu? Waachie mambo yao.
Daah mkuu wapo watu wa hivyo,humjui miaka nenda rudi.Mama anakuaje mchawi for years watoto wake msijue? Wala asiwaletee madrama humo ndani?
Piga chini huyo mke.
Tamaa mbele...Asslm Alykum Warahmatullah, Ndg Nikueleze Tu Kuwa Hapo Hakuna Mchawi Kati Ya Mkeo Na Mamayo Ila Wanachokitaka Masheitwani Ni Kuivunja Hiyo Ndoa Yakoh Mashetani Wanaichezea Akili Yakoh Ndg Kama Upo Dar Nicheki Nikusaidie Mashetani Walishaapa Kuwapoteza Wanaadamu Na Kuharibu Vizazi Vyao Nitafute Kwa Msaada Zaidi Wasijuchanganye Kichwa Hao Ni Vitu Vidogo Sana...Nawasilisha
Mama yako uliyekaa nae miaka nenda rudi lazima ujue kama ni mchawi. Utasimangwa mtaani, shuleni au ukimkosea yeyote hasa utotoni utasikia "ndio maana mama yako mchawi". Mimi nilimjua mama wa kambo kwa kuishi nae mwaka tu, nikiwa mdogo. Baba alikuja kumjua miaka mitano baadae sasa unashindwaje wewe.Wanga huwa hawajulikani na sisi watu tusio wanga...labda uwe mtu wa dua/maombi sana au nawe uwe fundi fulani...
Sasa unataka maza akiwa mchawi atangaze kwa watoto? Ujue mbinu za uchawi na ujasusi ni sawa, sasa niambie, baba/mama akiwa jasusi atatangaza kwa watoto?Mama anakuaje mchawi for years watoto wake msijue? Wala asiwaletee madrama humo ndani?
Piga chini huyo mke.
Jidandanye, si kila mchawi atatangazwa mtaani kuwa ni mchawi.Mama yako uliyekaa nae miaka nenda rudi lazima ujue kama ni mchawi.
Msimamo ni ule ule, mwanamke mchawi hapaswi kuishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sasa hata akijua kuwa ni mchawi atafanya nini? Kwanza ipo wazi kuwa mkewe na mama yake wote ni wachawi. Sasa kuhusu kuwa afanye nini mimi sina msaada nae.