Ahahaaaaa....! Aingie wawe watatu. Na akiingia afanye juhudi awazidi nguvu upande huoMAMA AKO NA MKEO WOTE NI WACHAWI, WAN WALIKUWA WANAJUANA KAMA NI WACHAWI ILA KUNA MAMBO WAMETOFAUTIANA TU NDIO MAANA WANA MWAGIANA SIRI ADHALANI, NA WEWE FANYA JUU CHINI UINGIE KWENYE MAMBO AYO ILI MUWE WATATU
Kama nimekuelewa hivi.Mimi Nina mtazamo tofauti na wa kwako;ambaye mchawi ni mamaake..Kwa nn?
Siku jamaa anaitwa na mdada wa kazi kuna tatizo nyumbani,alipofika mkewe Tyr alikuwa ameshapandisha majini na majini yakamwelezea hatari iliyopo mbele ya mke wake kwamba yanaelekea kushindwa vita, meanwhile mamaake anampigia simu sense kwao kuna tatizo kubwa na alipofika mama akaanza kujiliza na kutoa ushuhuda kwamba mkewe ni mchawi ..Alafu katumia defensive mechanism kwamba ooh unajua Mimi tangu nipo mtoto sijui bla bla,ili kumuwin jamaa
Moja ya Tabia ya wachawi ni unafiki,mchawi anaweza kukuloga usiku kucha asubuhi akaja kukujulia Hali,si umeona alichokifanya mama? Aliposhtukiwa deal limebumbuluka akamuwahi mtoto wake fasta kumstakia kwamba mkewe mchawi
Kinachotokea Kwa huyu jamaa ni kuuziwa ugomvi(vita) baina ya hawa wawili,mama na mke
Mama ana Tabia za ulozi na mke ana wadudu kichwani wanaomlinda,sasa kuna vita baina ya hawa wawili na anayeelekea kushinda ni mama,maana wadudu wa mama wamekili wanaelekea kulamba mchanga.Ni alert Kwa jamaa
Mkuu The MaskmaN hapo maamuzi ya Suleiman yanahitajika..Hekima ndy itaamua.Ila usimwamini mamaako pia,ni tishio Kwa mkeo
Km ni mmristo Sali na kufunga km kiislamu watakupa mwongozo
Tayari ameingia angaAsslm Alykum Warahmatullah, Ndg Nikueleze Tu Kuwa Hapo Hakuna Mchawi Kati Ya Mkeo Na Mamayo Ila Wanachokitaka Masheitwani Ni Kuivunja Hiyo Ndoa Yakoh Mashetani Wanaichezea Akili Yakoh Ndg Kama Upo Dar Nicheki Nikusaidie Mashetani Walishaapa Kuwapoteza Wanaadamu Na Kuharibu Vizazi Vyao Nitafute Kwa Msaada Zaidi Wasijuchanganye Kichwa Hao Ni Vitu Vidogo Sana...Nawasilisha
Umegeuka tena?. Au ndio msaada uliosema?.yni uyo jini wa mkeo kwanza kaleta uchonganishi kukwambia mama ako ni mchawi ndo yalivo ayo majini kazi yao ni kufitinisha wala usiwaamini
Jini ni jini bro hakuna jini mzuri au jini mbayaSubiri nikufahamishe
Majini ni viumbe kama wewe tuu wapo wazuri na wapo wabaya kma unavoona binadamu ila sisi binadamu tumezuiliwa kuwaona ila wao wanatuona
Umewaza kama mimi nilivyokuwa nawazaKama stori yako ni ya kweli, hapo wote wachawi hao...
Mama yako kakiri kuwa na 'karama ya kuona' watu wabaya, halafu kakupa nawe dawa ili uweze ona mauzazuza ya mkeo, kuwa na karama haina maana unakuwa na uwezo wa kutengeneza dawa...kama anatengeneza dawa huyo ni fundi tayari
Pia kwa mkeo ni wale wale tu, ana uchawi wa maruhani, na kitendo cha yeye kukupa dawa ina maana na yeye ni fundi...
Nina swali moja, kama mama yako ana karama ya kuona mauzauza, iweje hakuona kabla mwanamke uliyenaye hajawa mkeo?
Huwezi fanya Ivo Kwa mama bila ushahidi wa kutoshaWaite wote wawili nyumbani kwako, sokota fimbo ya ufito mwembamba, chapa wote hadi waombe poo!
Hayo madudu bai bai!
Ningekuwa mimi ningekata mawasiliano nao na kwenda kuishi mbali kabisa wasinijue.
Siwezi nikakaa chini kangaika na maujinga yao
Sikulazimishi kuaminiJini ni jini bro hakuna jini mzuri au jini mbaya
Sipendi kulumbana kwaio kma hujaelewa bora uniulizeUmegeuka tena?. Au ndio msaada uliosema?.
Mbona alivyofika tu kwa mama,tofauti na siku zingine,leo alimkumbatia kabisa,akamwambia mkeo mchawi na mengine mengine. Kwa tabia aliyoionyesha mama,yeye ndio mwanga
Sasa hapo malumbano yako wapi?. Huu wote ni mjadalaSipendi kulumbana kwaio kma hujaelewa bora uniulize
hekima ya suleiman hiiWamepimana uzito wameona hawatoshani wameamua kukimbilia kwako kila mmoja amsingizie mwenzake.
Mara nyingi anaeanza kutoa taarifa polisi ndio anaonekana mwema, haki hupatikana mahakamani.
Asante mkuu we acha tuHaya mambo haya uyasikie tu hivi hivi yasikukute
Pole mkuu upo kwenye mtihani mzito sana