Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Duuu unanitisha sasa
Huo muda unautoa wapi.......hapo mwendo unashindlia hotelin unawaletea watt vyakula vizuri hafu unamwacha yeye ale nyama zake peke yake.
Kwa uwezo gn nilionao?!
Mwambie ukweli aache uchoyo
Inapendeza[emoji7][emoji38][emoji38][emoji38]sio bonge nyanya lakini Ni wa kawaida tu
Kabisa ni mroho na mlafi....nakazia hapo kwenye uchawi...amuangalie vizuri soon atakua mchawiSio mchoyo tu bali ni mroho pia
Watu wa hivyo kuuwa ili waachiwe manyama hayo na kupunguza mtu kwenye share ya familia ni rahisi sana
Ana chembechembe za uchawi huyo
Ataangamiza familia siku moja
Mrudishe kwao mchawi huyo [emoji23][emoji23]
Haupati ng'oooNatafuta umaarufu
Habari zenu ndugu wanaJF Mimi natamani kuwa maarufu humu au niwe super star waJF kama akina mwafulani Sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?! Nipeni mbinu wakuuwww.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]da inachekesha lkn Kama Kuna kaukweli hvSio kukutisha hivi unategemea huyo anaweza kutoa hata sadaka?
Anasidia masikini?
Kama wewe anakufanyia hivyo je kukuwekea sumu atashindwa?
Lingine ukiwa unakula mpe mgongo maana akiona unakula nyama anaweza kukuangalia kwa jicho la HUSDA ukanigwa ukafa [emoji23][emoji12]
Kama natania vile ila kuwa uyaone mimi mzee nimeyaona na kuyasikia
Usipuuze
Kabisa ni mroho na mlafi....nakazia hapo kwenye uchawi...amuangalie vizuri soon atakua mchawi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]da inachekesha lkn Kama Kuna kaukweli hv
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 shida sana kwa kweli yaani kuna binadamu wa ajabu sana huku duniani.Nasoma huku NACHEKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama namuona vile akiwa kajigubika na kufura wakati wa kula hizo finyango zake 5
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Mungu tu ndio anatujua viumbe vyake tulivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] shida sana kwa kweli yaani kuna binadamu wa ajabu sana huku duniani.
Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia tule pamoja hataki. Jamani huyu mi simuelewi ndio maana ananenepa yeye mi kila siku nazidi kuwa kimbaumbau.
Hebu nishaurini.
Sio mpa... kweli [emoji16]