Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Rafiki natania,mimi napenda sana wanawake siwezi kusema mwanamke auawe[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki natania,mimi napenda sana wanawake siwezi kusema mwanamke auawe[emoji849]
Good morniiiiiing ...kwa hisani ya Qnet....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vitu vingne vnafurahshaHabari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Heri yako maisha yamekunyokea.lisipo kupata la kwangu litakupata lingine.umekuwa na matusi kama mke ninaye mlalamikia.au mmezaliwa pamoja? Mimi najua humu watu ni werevu na wenye busara kumbe kuna wapuuzi kama wewe!We Jamaa fala sana ...Usilete habari za shetani na Mungu.... Kumtupia Tuu lawama mkeo wakati hujazungumza Shida zako.
Ukute hata Utamu humpi..
Kimoja chali...Tena chenyewe Cha sekunde imeisha unanakoroma Kama Mashini ya kusaga.
Husimami Kama mwanaume kwake Unategemea Nini.
Fala wewe
Kmmmk.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuwatupia lawama wanawake ati wamebadilika wakati sisi wanaume muda mwingine Tuna Mambo ya ajabu mnooo....
Ulichaguliwa?
HutupendiRafiki natania,mimi napenda sana wanawake siwezi kusema mwanamke auawe
Rafiki nakupenda sana!😍😍😍Hutupendi
Ashaambiwa atalogwa akithubutu kuna mjomba ao huko mganga we unampa ushaur gan ?Mkuu samahani, kabla ya kufunga nae ndoa hizo tabia alikua nazo? Ushauri wangu mwambie aende kupumzika hme kwanza mpaka atakapoamua yeye mwenyewe kurudi hme nafkiri akirudi atarudi na heshima kaza roho meza fupa kaa mwenyewe hme mpaka atakapojirekebisha.
Wanaume kitu chakwanza kabla ya kuowa tuangalie tabia, kuna wanawake wazuri sana wengi wenye mabody mazuri sura nzuri wameachwa kutokana na tabia kama izo
Hio kuroga si mpaka ikubali, sio kila rogo linakubaliAshaambiwa atalogwa akithubutu kuna mjomba ao huko mganga we unampa ushaur gan ?
😂😂😂😂 Dah!Mpeleke polisi....then mahakamani.
KOSA: Msumbufu, mchawi, anatishia
kujeruhi.
USHAHIDI: Hakuna
HUKUMU 1: Mpe talaka then mgawane mali.
HUKUMU 2: Endeleeni kuishi, na wewe anza usumbufu, anza kumroga, anza kichapo na usirudi tena hapa.
Kwan kabla hujamuoa hau kupitia kwenye kipind cha uchumba ili kuweza kumjua kama ana mdomo muongo nk?Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Uyo ni mkewe ivo chupi nywele boxer.sperms viatu ni fahis kuvipata afu mjomba ndio mganga kwann wasiwezeHio kuroga si mpaka ikubali, sio kila rogo linakubali
mpende,mpende na mpende, muoneshe unampenda waziwazi hasa mbele za watu, siku anayokuuzi zaidi mletee zawadi, mkumbatie na umwambie jinsi gani unampenda mpaka ukamuoa ikifuatiwa na outing, show her etra love hasa nyakati anazokukwaza, love is the best medicine, you'll thank me laterHabari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
[emoji3][emoji3] hata sina chura rafikiRafiki nakupenda sana![emoji7][emoji7][emoji7]
🚶🚶🚶[emoji3][emoji3] hata sina chura rafiki