Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Africa ukiwa loyal/gentle katika mahusiano hawa gals wa kiafrica Wana kuchukulia kuwa boya yaani haujiwezi kwake umekufa umeoza ,kumbe masikini hiyo ndio inborn character yako [emoji16][emoji16]
Mimi ni muhanga wa hili ila mwishoni huwa nageuka "surprise"
 
Unahisi hili ndiyo suluhisho la matatizo rafiki yangu.!?

Umeoa hearly..?
Huyu kashachoka kusikia thread za malalamiko ya hivi. Kwamba kama mwanamke anaonesha unyenyekevu wakati anataka ndoa halafu akiipata ndio anaanza timbwili basi hapo solution ni "uchumba sugu" tu. Hahahahaaaaa. Watu wana ma-idea hatari
 
You are welcome.

Nyie ndo wanaume bwana. Msiache malezi yetu mabovu au tabia zetu mbovu na kutojielewa kuwafanya kupoteza uanaume wenu.

Mwanamme abaki kuwa mwanamme jamani.
 
Hahahahaaaaa. Roho ya hivi inapatikana chuo gani?
 
You are welcome.

Nyie ndo wanaume bwana. Msiache malezi yetu mabovu au tabia zetu mbovu na kutojielewa kuwafanya kupoteza uanaume wenu.

Mwanamme abaki kuwa mwanamme jamani.
Hata mimi mke wangu ni muongeaji sana
 
Hii hata mi ningeapply. Yaani kazi kazi
 
Tatizo unampenda jirani kuliko nafsi yako badala ya kumpenda kama nafsi yako. Leo ukifa kwa stress watoto ndio hawatakuona tena asilani.
 
Wanaume wenzangu nadhani thread hii ifungwe kwa kuuchukua huu ushauri baab kubwa kabisa. Tuache tabu za kujitakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…