Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

Ya mkeo tu labdaaaa mkuuu
 
Bora hivyo kuliko mtandao
Yanaliwa hadi majini yasiyo na smartphone ndio mkeo asiliwe ?

Kama ni kuliwa ataliwa tu awe na smartphone ama kitochi ataliwa tu 😂

Acha kumfanyia mtoto wawatu hivo
Na kama umemchooka tuachie sisi tumnunulie iPhone 15 pro max
Mkuu jalibu kuzama inbox kwa mtu wako lazima utaleta iz jf unataka kuhinyonga
 
Kama huamini Mungu wanaomwamini wengine hulazimishwi...

Ila usimtukane...

Wala usitumie nguvu kubwa kulazimisha kuwa huyo sio Mungu..
Wwe ndio umemtukana kwamba nisimfananishe yesu na vitu vya kijinga , alafu kama nyie mna haki ya kuhubiri uwepo wake na sie tuna haki ya kuhubiri kutokuwepo kwake.
 
Umsakini na ushamba unakusumbua mkeo analiwa hadi na mateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…