Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hao wapo katika misheni so mambo ya minyanduano ama kulea mke na watoto walishajitenga nayo.Kumbuka hata mapadri hawaoi pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wapo katika misheni so mambo ya minyanduano ama kulea mke na watoto walishajitenga nayo.Kumbuka hata mapadri hawaoi pia.
Ya mkeo tu labdaaaa mkuuuSalamu
Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98
Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk
Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na maadili 100 ila mtandao utamnasa tu
Kama unabisha kamata simu ya mkeo,mpenzi,mchepuko mshtukize uangalie huko ulimwengu wa inbox,DM ni balaa
Kwa ushamba wangu nimeamua rasmi sitaki mke,demu,mchepuko,mpenz awe mtumiaji wa mitandao vinginevyo amiliki simu ya tochi
Ni Bora kupigiwa na muuza mkaa taarifa zake ipo siku ntazinasa tu mitaani kuliko mdau wa dm,inbox
Nawasilisha
Mungu hanaga mkeAta yesu ?
hii inglishi jamaniAm the man
Yanaliwa hadi majini yasiyo na smartphone ndio mkeo asiliwe ?
Kama ni kuliwa ataliwa tu awe na smartphone ama kitochi ataliwa tu 😂
Mkuu jalibu kuzama inbox kwa mtu wako lazima utaleta iz jf unataka kuhinyongaAcha kumfanyia mtoto wawatu hivo
Na kama umemchooka tuachie sisi tumnunulie iPhone 15 pro max
NakaziaAcha kumfananisha Yesu na vitu vya kijinga..
Hafananishwi na chochote...
Jama mkoloni sana.
Uwo ni uwongoMungu hanaga mke
Acha kumfananisha Yesu na vitu vya kijinga..
Hafananishwi na chochote...
Kumbe Mungu kuna vitu vya kijanga kaviumba pia nilikua sijui🤔🤔🤔Acha kumfananisha Yesu na vitu vya kijinga..
Hafananishwi na chochote...
Kama huamini Mungu wanaomwamini wengine hulazimishwi...Kumbe Mungu kuna vitu vya kijanga kaviumba pia nilikua sijui[emoji848][emoji848][emoji848]
Wwe ndio umemtukana kwamba nisimfananishe yesu na vitu vya kijinga , alafu kama nyie mna haki ya kuhubiri uwepo wake na sie tuna haki ya kuhubiri kutokuwepo kwake.Kama huamini Mungu wanaomwamini wengine hulazimishwi...
Ila usimtukane...
Wala usitumie nguvu kubwa kulazimisha kuwa huyo sio Mungu..
Sawa Mpinga Kristo...Wwe ndio umemtukana kwamba nisimfananishe yesu na vitu vya kijinga , alafu kama nyie mna haki ya kuhubiri uwepo wake na sie tuna haki ya kuhubiri kutokuwepo kwake.
Nakazia😀Suluhisho la yote hayo ni kutooa tu. Simple!
Na wapo waliamua wake zao wasimiliki simu kabisa. Lakini wapi! Wanapigwa na wahuni kama kawaida na zaidi.Unajisumbua.
Hapa yupo mdada mke wa mtu ana simu ndogo ila maongezi yake kwenye hiyo cm ni aibu
Umsakini na ushamba unakusumbua mkeo analiwa hadi na matejaSalamu