Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Ah wapi yaani mke wangu miaka nenda rudi nimekuwa na fantasy ya kugegeda pregnant woman alafu aninyime....mmbona kitaumana humo ndani
 
1. Je mmeenda clinic pamoja kupima HIV?
2. Kama hujaenda naye nenda naye sasa mkapime.
3. Ukimwi bado Upo na Ni Gonjwa Tishio.
 
Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
Aache na kula kabisaa maana akishafanya yoote hayo ulosema sidhan kama ndio automatically ana "Discharge zile protein" a.k.a kupiga bao 😎😎
 
Badilisha mfumo wa ratiba zako fanya mazoezi na uvumilie

Ni kawaida sana mwanamke akiwa na mimba kuwa ktk hali hiyo

Vumilia
Hiv wewe katika historia yako ya kubanwa na nyege ushawah kuona kitu kinachoweza kuibadili mwelekeo zaid ya mbususu..??? Ndio maana wengine wanaamuaga kujichukukulia SHERIA MKONONI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu ushawahi sikia kuhusu mpango wa kando?
Huu ndio muda wa wewe kumjua mpango kando ni nani na anafanyaje kaziπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…