Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye imkatae Ila Joseph wa mtaani imemkubali na shemeji anagawa Kama kawaWe nae si uchepuke? Mimba hiyo imekukataa mpaka ajifungue, sasa baki na genye zako uje ubake mbuzi
Toka nje ya boksi wwNilijua hiyo hali ni kwa mke wangu tu kumbe kwa wengi
Sisi hatujawahi kupitia kipindi hicho!Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Unaachia kazi inaendeleaMi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Mianamake ikishajua Hali zao haiwezi kukuambia.. inameza tembe peke Yao na inakukwepa usiizidishie virusi huku ukifa taratibu.Jamaa kasema ni mke wake na yy ndio mwenye hiyo mimba...sasa kama hawakupim before inasaidia nini??
Ndo ivo mkuu,ajishughulikieUnaachia kazi inaendelea
Piga nyeto [emoji16][emoji16]Mimi victim mwenzako mkuu nimevumilia lakini nahisi soon nitatenda jambo zuri mbele ya macho ya shetani
Halafu mwanamke aiwa na mimba huwa wa moto zaid aisee yaani huchukui mda tayri
Sasa mkuu mwaka wapili huja gusa sasa yeye hajistukii huyu mwenzangu anaishi vip?Wangu alifanya kama wako, nikaenda nje nako nikapata mtoto, leo mwaka wa 2 sijagusa kitu yake
Na kweliNdo ivo mkuu,ajishughulikie
Ah.. sasa we miezi minne tu unalia lia.. mi mwenzio mwezi wa nane huu unaenda, sio simba wala sio yanga alioona lango la mwenzie.Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Hii changamoto nimekutana nayo hapa nimebaki tu namwangàlia tu yani anakuwa mkali balaaWakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Moja katika sababu za Waislamu kuruhusiwa kuowa wake wanne(4)..,ni kuwalinda wanaume pamoja na wanawake waepukane na ZinaaWakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo