Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Pole sana!

Watu wapo tofauti sana, wangu ndio alinogewa na minyaduano wakati wa ujauzito,tumenyanduana hadi wiki chache kabla ya kujifungua.

Kwa ufupi, kuna mimba zinapenda kwichikwichi, zingine hazipendi kabisa.

Vumilia mkuu miezi 5 iliyobaki sio mingi, ingawa kuna miezi kadhaa ya uzazi utavumilia pia
 
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).

Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.

Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.

Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.

Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.

Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Tulijifunza kuchepuka tu mkuu, hiko ndio kipindi ambacho kuchepuka hakuwezi kwepeka mzee! Yani ni wachache wanabahatikaga kupata mapenzi kwa wake zao kipindi cha ujauzito wengi huwa tunachukiwa😅

Ndio muda rasmi wa kufungua tawi maana ni ngumu kutoboa miezi 9 bila kuchuja.
 
Mi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Wanawake huwa sijui mpoje, mie nilikuwa naonekana kero tu😅 ilibidi niji distance matokeo yake ikawa naonekana simjali tu lawama kibao daily!

Mara kesi za kusingiziwa nina milupo na ndoto hizo hazikumuisha kila siku naambiwa nimekuota upo na mwanamke😂😂😂
 
Mi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Nilikuwa sijui kama huwa mnachukia hivi mkiwa kwenye mimba. Nimejionea mwenyewe sasa.

Nilikuwa naambiwa nanuka sana, naamrishwa nikaoge, nikapige mswaki, tukiwa tumelala alifikia kipindi akawa analala anaelekea upande mwingine(yaani tunapishana). Hii hali ilishamiri sana kipindi cha miezi ya mwanzo ila ilipungua kadri muda unavyokwenda.
 
Pole Sana,
Nakushauri Usimng'ang'anize,
Utakuja kuleta migogoro isiyokua na msingi kwny familia yako uharibu ndoa yako kizembe sana

Ushaambiwa muishi nao kwa akili,
Kuchepuka nayo Ni akili kwa mustakabali mzima wa utulivu na kuepusha migogoro isokua na lazma katika familia yako[emoji4]
Ningeshangaa usingemshauri hivi.
 
Nenda river side mkuu au kuna kiwanja kipya pale mbezi Karibu na magufuli terminal
 
Pole Sana,
Nakushauri Usimng'ang'anize,
Utakuja kuleta migogoro isiyokua na msingi kwny familia yako uharibu ndoa yako kizembe sana

Ushaambiwa muishi nao kwa akili,
Kuchepuka nayo Ni akili kwa mustakabali mzima wa utulivu na kuepusha migogoro isokua na lazma katika familia yako[emoji4]
UNYAMA SANA HAPA [emoji23][emoji23]
 
Yani alafu inakuwaga ya Motooo balaa imajaaa ndidndiiiii..Kulowa chap tuuuu!!! Niliweka mpaka karibu anajifunguaaa sema kingine labda mkuu unatumia style ambazo zinamuumiza maana wanawake hawapendi kabisa sex za kuumiznaa... Wewe siku mjaribishe ya kumlaza kiubavu alafu upenyeze
 
Tatizo hunywi pombe, ungekuwa unakunywa usingemsumbua wife. Chukua barmad piga kimoja cha fasta
 
Back
Top Bottom