Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Wanaume lazima mwelewe kubeba kiumbe tumboni si lelema mama,kuna wakati unabeba mimba inapenda kugegedana balaa kuna wakati wala huna hamu na tendo hilo kabisa hivyo msifiri wanajifanyisha haya mambo eleweni.

Mimba ya kwanza nilikuwa simpendi mume mpaka nikisikia harufu tu natapika aisee hakuna alilofanya niliona jema mimba ilijua kumkataa
Ya pili ikaja tofauti asipoonekana naweza mfata hata ofisini yani mpaka nalia akichelewa kurudi
Muda wote nataka hatariii[emoji23]
 
Ya kwangu vice versa...alikula mzgo mwanzo mwsho..ya pili sasa[emoji2][emoji2][emoji2]....yn ht hamu nae sina. Namuona km kaka yngu...hamna feeling kbsaa..akinigusa nakasirika as if nimeguswa na strranger woiii
 
Nilikuwa sijui kama huwa mnachukia hivi mkiwa kwenye mimba. Nimejionea mwenyewe sasa.

Nilikuwa naambiwa nanuka sana, naamrishwa nikaoge, nikapige mswaki, tukiwa tumelala alifikia kipindi akawa analala anaelekea upande mwingine(yaani tunapishana). Hii hali ilishamiri sana kipindi cha miezi ya mwanzo ila ilipungua kadri muda unavyokwenda.
Yn tunakuaga very senstive..nahis zaid ya senstive[emoji1787]
 
Ya kwangu vice versa...alikula mzgo mwanzo mwsho..ya pili sasa[emoji2][emoji2][emoji2]....yn ht hamu nae sina. Namuona km kaka yngu...hamna feeling kbsaa..akinigusa nakasirika as if nimeguswa na strranger woiii

[emoji28][emoji28][emoji28]haya mambo acha tu mtu anaweza kuhusi tunajifanyisha kumbe sio mabadiliko tu
 
Pole sana ni hormones tu zinakuwa zinamsumbua, Jitahidi uwe busy, fanya mazoezi. Usimpe stress maana ni kipindi kigumu kwake pia, ili kumlinda yeye na mtoto
 
Pole sana!

Watu wapo tofauti sana, wangu ndio alinogewa na minyaduano wakati wa ujauzito,tumenyanduana hadi wiki chache kabla ya kujifungua.

Kwa ufupi, kuna mimba zinapenda kwichikwichi, zingine hazipendi kabisa.

Vumilia mkuu miezi 5 iliyobaki sio mingi, ingawa kuna miezi kadhaa ya uzazi utavumilia pia
Mkuu huu ushauri unampotosha. Michepuko kazi yake nini?
 
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).

Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.

Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.

Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.

Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.

Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Hivi ukihamia kwa mchepuko nani atakaekuuliza?
 
Usinikumbushe hili jana, mie lilinikuta mapema mno maana nlioa baada ya wiki 3 tu akabeba mimba, no papuchi na ukipata mara moja kwa wiki nyieee
 
Nani kaka sasa? Nina mbususu mimi afu siye niliyeanzisha uzi sorry🤔
Neno mbususu yani linasisimua mwili,nilivyoisoma tu mbususu moyo ukalipuka paah.

Wanaposema binadamu wote ni sawa hawajakosea raha anayoipata tajiri na maskini nae anaipata.
 
Neno mbususu yani linasisimua mwili,nilivyoisoma tu mbususu moyo ukalipuka paah.

Wanaposema binadamu wote ni sawa hawajakosea raha anayoipata tajiri na maskini nae anaipata.
Hahaaa mbususu ni kiungo cha mwili kama viungo vingine mkuu😂 ni kama mikono, miguu, why usisimkwe na mbususu tu😂
 
Mi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Mkuu umeongea ukweli mtupu, kama mimi kabisaaa
 
Back
Top Bottom