Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Ah.. sasa we miezi minne tu unalia lia.. mi mwenzio mwezi wa nane huu unaenda, sio simba wala sio yanga alioona lango la mwenzie.

Kama sio michepuko mi ningekua nimeshakufa
[emoji848][emoji849][emoji87]ila wanawake Mungu anatuona
 
Mimi nimeshabadilishiwa perfume, nimebadilishiwa sabuni za kuoga, nikajiongeza tu mwenyewe siku izi nageukia zangu ukutani nalala ukingoni kabisa mwa kitanda [emoji853]
Aisee,what s going on?[emoji848]
Mungu nisaidie nikiwa Kwenye hiyo hali nipende dudu tu kwakweli hakuna namna
 
Kama umepanga Hama Apo nenda kapange room moja mbanane humo humo mbona mbunye atatoa.

Hyo option ya kwenda kulala chumba kingine atakua Hana
 
Aisee,what s going on?[emoji848]
Mungu nisaidie nikiwa Kwenye hiyo hali nipende dudu tu kwakweli hakuna namna
Eti naambiwa lotion nayopaka siku izi ina haruf mbaya, mara perfume zina harufu mbaya... kweli 1 million, curve, armani code eti zina harufu mbaya? Mbona zamani kabla ya ujauzito alikua anazipenda balaa..? Au ni mbinu zake tu za kuninyima..🙄
 
Eti naambiwa lotion nayopaka siku izi ina haruf mbaya, mara perfume zina harufu mbaya... kweli 1 million, curve, armani code eti zina harufu mbaya? Mbona zamani kabla ya ujauzito alikua anazipenda balaa..? Au ni mbinu zake tu za kuninyima..[emoji849]
Ila kwa habari ya mimba naelewa! Mimba inachagua mkuu! Vumilia tu ni suala la muda tu
 
Asante mkui
Huo sio ushauri mzuri mkuu.Jamaa anakupoteza mazima Mungu haiendi uzinifu na isitoshe kuna magonjwa...Uvumilivu ndo siri na endelea kubembeleza ...tafuta hata watu wa huduma za kiroho watakuwa jinsi ya kumshauri ili awe anakupa
 
Pole Sana,
Nakushauri Usimng'ang'anize,
Utakuja kuleta migogoro isiyokua na msingi kwny familia yako uharibu ndoa yako kizembe sana

Ushaambiwa muishi nao kwa akili,
Kuchepuka nayo Ni akili kwa mustakabali mzima wa utulivu na kuepusha migogoro isokua na lazma katika familia yako[emoji4]
Acha kupotosha maandiko na kumpotosha ..kuishi na akili siko huko.Ushauri mzuri ni kumtafuta hata mshauri wa kiroho wa kike atakuwa jinsi ya kuweka sawa.Kuna magonjwa siku hizi na pia hata Mungu haridhii mambo hayo ya michepuko.Muwe mnatanguliza Mungu kabla ya kutoa ushauri.Usije kupoteza watu
 
Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
Acha ujinga labda kama hujakamilika hivyo vyote haviondoi hamu ya tendo la ndoa unless unaupungufu wa nguvu za kiume
 
Ni kawaida mkuu. Mimi pia iliwahi kunitokea. Mke baada ya kujua ana mimba tu, Hatukufanya Tendo Tena
 
Back
Top Bottom