Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Wangu alifanya kama wako, nikaenda nje nako nikapata mtoto, leo mwaka wa 2 sijagusa kitu yake
[emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangu alifanya kama wako, nikaenda nje nako nikapata mtoto, leo mwaka wa 2 sijagusa kitu yake
HahaWe nae si uchepuke? Mimba hiyo imekukataa mpaka ajifungue, sasa baki na genye zako uje ubake mbuzi
Mbona sasa mnazidi kumtia hamasa mleta madaHalafu mwanamke aiwa na mimba huwa wa moto zaid aisee yaani huchukui mda tayri
Mimi Vaileth wangu nimemla shoo siku moja mpaka leo hanipi shoo na anamimba anasema yangu ubishi vita, hanisumbui ila tukionana anadeka anaomba buku buku jero hataki zaidi ya hapo na hanitafuti kwenye simu,Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Yaani mtu kutaka kumchakata mke wake ni kuendekeza ujinga, nyie ndio mnaleta uphilipino kwenye suala la minyanduanoFanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
Mliambiwa na Mtume Mhamad muoe wake wanne badala yake mkajifanya wakristo wakubwa kuliko hata Ibrahimu na Suleiman.Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na
[emoji2][emoji2][emoji2] Hatari sana,Hiv wewe katika historia yako ya kubanwa na nyege ushawah kuona kitu kinachoweza kuibadili mwelekeo zaid ya mbususu..??? Ndio maana wengine wanaamuaga kujichukukulia SHERIA MKONONI [emoji23][emoji23][emoji23]
We nae si uchepuke? Mimba hiyo imekukataa mpaka ajifungue, sasa baki na genye zako uje ubake mbuzi
Wanawake wote mngekua hivi asee, mukide sana.We nae si uchepuke? Mimba hiyo imekukataa mpaka ajifungue, sasa baki na genye zako uje ubake mbuzi
Dah mi nkajua we bado kigoriMi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Mi mke wangu alivyo beba mimba tu, aisee hata ukitaka umkiss anakua mkali balaa, baada ya kuona hivyo nikaanza na kuruka na vikina Neema, kwangu, Gumba, Nshoma, Nsamaka, Somoe n.k mpaka alivyo jifungua aisee ndio nikapunguza. Alafu sasa hvyo vidanga nilikuwa nikiviwasha bao moja tu mbōō yangu yenye nchi 2 inalala naanguka chini kama bata aliye kitupa.Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Muone mtaalam wa kina mamaWakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo kitandani,nikimuuliza anadai hajiskii kabsa kushiriki nikimgusa hataki hata kufanyiwa romance hataki kabisa nikiendelea huwa ugomvi na huamua kutoka kitandani na kwenda kulala chumba kingne peke yake akidai nimuache hataki.
Hii Hali kiukweli inanipa wakati mgum hisia Kali hunitesa Kama mwanaume kamili dam bado inachemka kukosa kushirik zaidi ya miezi mitatu.
Istoshe katika hiki kipindi Cha ujauzito kazidi kuwa mzuri hatari najikuta naishia kumtamani tu Ila ndo hivyo kuguswa hataki kabisa wakuu.
Namweleza kua hisia zinanizidi nahitaji angalau anipe Mara moja kwa week hanielewi nahofu nakoelekea nisije msaliti wife wangu.
Vipi kwa wale wenzangu ambao mliwahi pitia katika kipindi Kama hiki mwanamke ama mpenzi wako kuwa mjamzito mabadiliko ya mwilli yapelekee kutopenda sex mlifanyaje wakuu?
Baada ya kujifungua vipi, kama kawaida ama mood iliisha jumla?Mi nilikuwa nafumba mdomo na pua then naachia miguu ili nisitapike lakin bado alikuwa akinikojolea tu lazima nitapike.usiombe mimba isipende harufu ya mwili wa mwanaume...hata aoge vp
Dah! Umenifanya nifikirie mbali aisee, kuna mama mmoja huku kwetu mme wake huwa anakimbia kimbia mara aende huku mara aende kule sisi hatukujua kumbe mke wake ni mashine ya kazi na huwa inachepuka balaa na kila anae chepuka nae anatoka nduki na boxer mkononi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kumbe yule mama anataka ukiingia kwenye 18 zake umpige show hata masaa 10 nani show mwanzo mwisho hakuna kupumzika jamaa aka run [emoji23][emoji23][emoji23]Pole.
Huo ndio ukubwa.
Na uaanaume wako utaonekana hapo sasa
Kipindi cha mpito utashangaa baadae anaweza kukung'ang'ania ukawa unakimbia wewe
Mvumilie kwani Kila mwanamama ana aina yake ya mabadiliko kipindi akiwa mjamzito kaka, tumia busara zako zote ipindi hiki kigumu kwako na kwake pia, ndio upendo wa kweli kumvumiliaBaada ya kujifungua vipi, kama kawaida ama mood iliisha jumla?
Nani kaka sasa? Nina mbususu mimi afu siye niliyeanzisha uzi sorry🤔Mvumilie kwani Kila mwanamama ana aina yake ya mabadiliko kipindi akiwa mjamzito kaka, tumia busara zako zote ipindi hiki kigumu kwako na kwake pia, ndio upendo wa kweli kumvumilia
Ok sorryNani kaka sasa? nna mbususu mimi afu siye niliyeanzisha uzi sorry[emoji848]