Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

Mtanzania2020

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2020
Posts
1,033
Reaction score
2,307
Mimi ni Mwl na nina miaka minne kazini niliajliriwa 2022. Nina mke ambae nilimuoa mwaka 2020 na nimebahatika kuzaa nae watoto wawili mmoja wa kiume miaka 4 na mwingine wa kike tarehe moja April anafikisha miaka miwili.

Kuna mkasa umeniumiza sana nimeamua kushare maumivu na wengine kwenye ukurasa wako angalau kwa comments za ushauri na na faraja inaweza nijenga nikawa mtu mwingine.

Iko hivi: mwezi December mke wangu aliomba aende kumsalimia mdogo wake ambae ameajiriwa mkoa naofanya kazi (Morogoro) ila Wilaya tofauti na nilipo mimi kidogo ni mbali

Basi nikampa nauli na kila kitu akaondoka na binti mdogo kwenda huko, kakaa siku zikaenda holiday hiyo sasa huwa ni utaratibu wa kumjulia hali mke wangu asubuhi saa 12 kabla ya kuamka na jioni saa 2 kabla ya kulala

Basi bana tarehe 23 Dec jioni nikamcheki shortly akadai alikuwa na kazi akaniomba apumzike hivyo basi tarehe 24 mapema kama kawaida nikamcheki asubuhi hakuwa anapatikana, basi usiku the same hakuwa anapatikana

Ikanibidi nimcheki shemeji ambae ni mdogo wake akanijibu kuwa hayuko poa amelala nikajipa moyo kesho nayo ni siku.

Tarehe 25 Dec asubuhi nikamcheki hakuwa anapatikana nikampigia shemeji tena akasema amewahi kuamka ameenda kuhemea sokoni. Kumbuka ni mgeni huko na nina siku mbili sijaongea nae basi nikamuomba akirudi tu anitafute, nikapiga tena simu mara kadhaa hakuna majibu nikapiga nikapiga tena holla!

Akaja kunitafuta saa 12 jioni na sababu kibao ambazo hazina mashiko aiseee nikawa sijaelewa ikanibidi nikae kimya nisubiri arudi nimuulize vizuri.

Baada ya siku kuwadia akarudi kimyakimya nikashitukia tu huyu hapa. Sikuhoji sana nikawa mpole kesho yake nikamtazama usoni wife lakini nikagundua kama uso hauna nuru sana nikamuuliza una shida gani maana kama ana wasiwasi sana aisee

Basi akajibu kuwa yuko sawa lakini nikaona mabadiliko muda wa kula kuna namna anajilazimisha kula naona kabisa kuna jambo haliko sawa nikahofia jambo maana mke wangu akibeba ujauzito ni aina ya wanawake wale ambao huwa wana ugua sana nikahisi hizo dalili ila nikapotezea.

Sasa ikaja shida kuwa ananihitaji sana kimwili kitu ambacho si kawaida sana kwake nikashituka nikasema sifanyi nae mpaka anipe maelezo ya zile siku za holiday imagine mpaka analia eti amemiss aisee nikashituka.

Nikaenda kuna zahanati karibu nikaomba kipimo kimyakimya bana. Huwa anaingia na kopo la kukojolea coz chumba hakina choo cha ndani aisee ikafika usiku sana nikaamka nikapima mkojo sasa mimi kwa kweli kipimo kikanichanganya

Ikabidi nimtumie mshikaji wangu kwa picha kunisaidia kusoma oyaaaa,jibu sasa likawa hongera mzee unaenda kuongeza familia japo bado ni mdogo kama week 3 au mwezi hivi, aisee moyo ukafanya shwaaaah! Nikajikaza asubuhi nikamuita nikamuuliza wife una ujauzito? Akawaka ujauzito wa wapi?

Toka lini? Na kiaje? Basi bana kumbuka kipindi anaenda kwa dada yake alikuwa MP na sodo nilimnunulia mwenyewe na huwa ni utaratibu wangu basi nikamuangalia sana nikajikuta nalia mwenyewe nikamuuliza mke wangu umetafuta adhabu zimekosa umeamua kuniadhibu hivi hata kama nilikukosea?

Aisee akaanza kulia nikamuuliza hajibu chochote. Nikamuomba simu nikapitia namba nikabahatika kukuta namba moja amewasiliana nae zaidi ya mara 40 ndani ya siku 3.

Nikamuuliza huyu ni nani akanijibu bhana anaitwa (jina kapuni) ndiye mwenye ujauzito huu na tulikutana tarehe 23 nilienda Dar sasa ulivyoshituka nikashindwa kurudi tarehe 24 sababu ya usafiri ikanibidi nirudi 25

Imagine kumbe zile siku zote alikuwa sehemu na mshikaji huku mimi nahangaika kumtafuta basi sawa yote tisa ila kumi mshikaji akamuacha na mimba na ambayo kama nisingeshituka tayari ilikuwa ya kwangu.

Najiuliza wanawake huwa mnahitaji nini mke wangu sio mtumishi ila kwa nafasi yangu nilijaribu kutimiza kile naweza kwake ila ikawa hivyo.

Mpaka natuma ujumbe huu nilikaa kimya week nzima akaniambia anaondoka coz ameshindwa kujisamehe hata yeye mwenyewe so akarudi kwa mdogo wake na hata sikujaribu kumzuia kabisa but ndani ya ile week nikiwa kimya

Alitoa ujauzito nikawa namuangalia tu anavyohangaika alivyokaa sawa kaondoka mpaka sasa yuko huko na aliniomba akae na watoto kwani ni wadogo watanisumbua sana wakikuwa watarudi nikae nao kwani kuwahudumia wangenipa shida nikamruhusu kama alivyotaka.

Mpaka sasa niko mwenyewe natafakari sipati picha wapi nilikosea aisee.

Screenshot_20260323_094558_Facebook.jpg
 
Sasa hapa unacholia ni nini ? Tayari ametembea na amelitambua kosa ,kubali sio wako tena ,kubali rasmi utaishi bila yeye anza upya ila sikushauri kuoa hivi punde ,jipe muda tena .

Ila jitahidi uwe unaingia walau mara mbili au tatu bar unywe pombe akili zitaongezeka kaka ,ila zaidi haya usiwasimulie walimu wenzio nakuhakikishia watakuongezea stress
 
View attachment 3561600
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Hongera sana kwa ujasiri.

Angalau wewe ni mwalimu unayejitambua hasa kwasababu kitendo cha kumuacha aondoke zake bila kumzuia huo ndiyo uanaume mkuu.

Haiwezekani mwanamke afanye kosa kubwa kabisa la usaliti halafu uendelee kumvumilia.

Amini nakwambia ukimrudia huyo mwanamke atakuona huna jeuri yoyote kwake atafanya mengi zaidi ya hilo akiamini huna jeuri ya kumuacha.

Achana naye tafuta mwanamke mwingine ukiwa na utulivu wa akili na mwili mkuu.
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Kumbe anaokoteza visa halafu tunajipinda kumshauri kwa simanzi😁😁😁
 
Mwanamke mpaka anamvulia nguo mwanaume tofauti na mumewe basi maana yake upendo wake wa dhati upo huko ndiyo maana akakuchukulia wewe kama option tu.

Yaani hata iweje kamwe usirudiane na mwanamke msaliti atakudharau kupitiliza halafu ukajuta zaidi ya sasa mkuu.
 
Pole sana kiongozi
Huyo mwanamke anaonekana anakupenda sana
ILA ni tamaa tu ilimuingia ya kutaka kujaribu kitu tofauti na hii inaweza kutokea kwa baadhi ya wanawake ambao hawajakuwa na wapenzi wengi huko nyuma (kabla ya kuolewa) kutaka kujaribu hasa wa vijijini. Angekuwa ni mwanamke wa kugawa hovyo hovyo huko nje hangeweza kupata mimba kwani angkua anajua namna ya kuzuia.
Ushauri wangu; Usioe kwanza....Jipe muda wa walau mwaka na zaidi wa kafakari vizuri
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Dah lijinga sana limwamba limetumia akili zangu zote kulipa ushauri kumbe changamsha genge .

Aisee rudisha madini yangu wewe Mtanzania2020
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Shukrani nyingi kwako kwa kulifukua hili kaburi. Watoto wa 2000 wana dhamira mbaya ya kuigeuza jamii forums kuwa facebook.
 
Back
Top Bottom