Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Ogopa sana Mungu na teknolojia 😂

Ila VAR ya Jamii Forums ni hatarii 🙌
 
Polee sana kwa maumivu makubwa unayopitia kama unaweza msamehe ili mlee watoto,lakini usimwamini tena
 
HUYU hatofautiani na yule mhuni, aliepata msiba kibaha jamaa alianzia mbali sana mpaka kupiga simu namba haipatikani tukajua KWELI MTU kafa, utaratibu w michango unaenda kukamilika ndo ikagundulika jamaa ni mmoja yani mtoa taarifa na aliekufa ni MTU moja na kibaha aliposema HAMNA msiba wowote asee hawa si WA kuwachekea, hii ni staili watu wanaanzia mbali mwishoni vilio watu washapigwa PESA.
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

watu mna fukua asee
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Ila jf 🙌
 
Mwalimu teacher sir pole sana mkuu.japo ule msemo wa 'the only shimo aman enters alone ni kaburi tu' ila huyo kavuka mipaka tena ya kimataifa bila passport. Fanya hivi, tafuta beki 3 mzuri uchukue watoto aje akae nao ukimsoma kama anawalea vizuri coz mshahara unao. Huyo mkubwa mpeleke shulen aanze mapema then beki 3 ukiona anafaa mpandishe madaraka na kumpa ofisi alikua anakalia mkeo ila kama hafai tafuta mwingne ila sharti aanze kama housegirl then utakuja kunishukuru baadae. Na pili kama kuna uwezekano omba uhamisho ili uende sehem ngeni kuepukana na stress za kuulizwa maswali ya shem/wifi mbona hatumuoni na walimu wenzako afu kama unakunywa pombe punguza kiasi ili ufanye maamuzi ukiwa fresh ila huyo piga chini bro atakutesa hadi unaingia kaburin na huo ni mpango ulipangwa hadi shemeji yako huyo so piga chini mwanamme hazeeki
 
Back
Top Bottom