Mke wangu, Umetafuta adhabu umekosa hadi umeamua kuniadhibu hivi?

We jidanganye tu🤣 mwanamke hana maamuzi kwenye mapenz anaweza kumpa unyumba yeyote atakaye fanikiwa kumshawishi yani kuna jamaa hata mke wako awe anakupenda vipi ukimwachia nafasi lazima amegwe tu
Sasa umezungumza nini? Hata wewe mwenyewe naamini hujajielewa ulichozungumza.

Huo ushawishi unaosema si ndiyo tayari ameshampenda huyo kuliko mumewe?

Kwani anashawishiwa na wangapi lakini akaamua kwenda na mmoja wao?

Huyo mmoja wao huoni ndiye chaguo lake baada ya kumlinganisha na mumewe akamuona hafai.
 
We jidanganye tu ila ujue ukiona ngono imefanyika mahali ujue inahusisha mwanamke na mwanaume. Wanawake wangekuwa hawachit hata sisi wanaume tusingepata mwanamke wa kuchit naye au tungewakuta bikra kila tunayegusa. Kaa na mke wako kwa akili we jidanganye wanawake hawachit🤣
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

AsantešŸ˜‚
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Nimecheka kwa sauti aiseee
 
Mtanzania2020 Unajua kuwa wewe ulikuwa mwanamke mwaka jana.

Nimecheka sana mkuu
 
Back
Top Bottom