Mke wangu vitendo ulivyomfanyia Mama yangu sitosahau kamwe

Nilivosoma heading ya uzi wako nikahisi kuna mwanamke mwenzetu kaharibu kazi tena huko, kumbe ni mambo mazuri , hongera kwa kumuamini mkeo na huu ni ushuhuda mzuri kwamba wife materials wapo jamani, nyie mnaokataa ndoa pitieni huku mjionee watu wanavyofaidi ndoa
 
Subil upigwe tukio moja kabambe Sana ili usahau wema woooote huo
 
Mambo mazuri yapo sana tu. Sema ibilisi anajitukuza sana anataka ashinde hii match lakini atashindwa tu.
 
Naona nyuzi za kuwasifia wake zenu zimepamba moto ili kukabiliana na kampeni za

KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI UTUMWA

NDOA NI KWA AJILI YA KUMNUFAISHA MWANAMKE

MWANAUME UKITAKA KUFA HARAKA, KUZEEKA HARAKA BASI WEE OA
 
Naona nyuzi za kuwasifia wake zenu zimepamba moto ili kukabiliana na kampeni za

KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI UTUMWA

NDOA NI KWA AJILI YA KUMNUFAISHA MWANAMKE

MWANAUME UKITAKA KUFA HARAKA, KUZEEKA HARAKA BASI WEE OA
Mwanaume anayekimbia majukumu ya kiasili sio mwanaume wa ukweli
 
Nilimtumia mke wangu laki 2 wagawane laki laki na mama angu,wife akampa elfu 80 kakata 20 na wakati maza alikua anaenda hospital..ukibahatisha mke mwenye akiri kama wako ishi nae vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo mama akiwa kijijin umeshindwa kumtengenezea mazingira mazuri kama mashuka,chakula
 
Kunavijana wakija kuzeeka watoto wao watapata tabu sana na watahama Hadi miji Yao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…