Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mwanaume Anatufanya Sisi Watoto!eti Sikupewa Likizo Miaka Mitatu Mara Oooh Sikukutana Na Mke Wangu Miaka Kadhaa,yaani Unataka Kusema Na Mkeo Nae Hakupewa Likizo Pia?na Je Huyo Bosi Asiyekupa Ruksa Kwenda Kwa Mkeo Yupo?mimi Nahisi Huko Mkoani Ulipata Demu Mpya Ukasahau Mkeo Dar,nae Akakuchukia,matokeo Yake Wote Mkaangukia Pua Ktk Mahusiano Yenu Ya Nje!ww Utakuwa Umeachwa Na Unapoachwa Unakuta Kurudi Kwa Mke Hakufai Kashajazwa Mimba!kifupi Hapa Hakuna Mke Wala Hakuna Mume!wote Hovyooooo!King'asti nachoomba ushauri je naweza oa kwa ndoa tena kwa hyo scenario
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Unachosha mkubwa...hii kitu wala si ya kuleta JF..kila kitu kipo so open like vazi la kahaba then huna macho ya kuona...!!Nadhan ww ni mmoja kati ya ambao manfanya jamii forum isiwe jukwaa la watu wanao fikir
Wana jamvi naomba msaada
wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja
ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga
ndoa kanisani lakin wakati nafunga nae ndoa yeye alikuwa tayar kaacha
kaz katika shirika tulilokutana so baada ya kufunga ndoa maisha
yaliendelea lakin mie nikikaa mkoan yeye akikaa Dar kutokana na majukumu
ya kikazi mie nafanya mkoan yeye Dar kwan alipata kaz nae baada ya
kukaa mtaan muda flan.
Mahusiano yaliendelea vizur tu lakin nikaja gundua ya kwamba anachat
na mtu ambae tuliwah ishi nae mkoan na nilipoamua kumtafuata akasema
binti alimwambia hajaolewa,akakubali kuacha kuchat nae.Vitimbi vikawa
vingi sana hatak kuja tena mkoan kuniona mpaka mie niende Dar na kwa
bahat mbaya mie nilikosa likizo kwa miaka 3 mfululizo na nikawa kama
kuja Dar ni training ya cku mbil mpaka tatu nikawa nakutana na vituko
sana mara ninuniwe mara kahama nyumba wakati yy yupo pale pale,stand
kuja kunipokea hatak na wakat tuna gar la kutumia nyumban.
Mahusiano yakawa yanaenda kwa mazoea tu mwaka jana kuna mtu akanipigia
cm kunipongeza kwa ujauzito wa mke na nilipata shock ukitegemea nina
mwaka cjaonana nae kimwili kwan nikienda training fup mara nyingi
anasema yupo period,nikazima so kwa kukubali ile hongera nikaanza
upelelezi na wakati huo alikuwa anaweza akakaa hata wiki asipokee simu
yangu na akipokea da sio dharau hizo kwamba anitak.Kupitia dada ake
mmoja akakubali kuniambia ukwel wa jambo hilo kwamba ana mimba na wao
wamejua co yangu kumuuliza hawaezi nikawa na uhakika na jambo hilo
nikaamua kumwambia tuweke sawa kwan naamin kateleza na tuendelee na
maisha kama kawaida akasema hatak na niendelee na maisha yangu kama
kawaida japo nilimbembeleza sana
Mwez wa kwanza nikaamua kwenda Dar kwan nilipata ruhusa kama ya siku
9,ndugu zangu wakasema niende nikahakikishe kwa macho yangu na kwa
msaaada wa yule dada alinicholea mchoro muda ambao yupo nikaenda
nilimkuta na yy ndio alinifungulia mlango kwanza aliponiona kidogo
asifungue mlango ila akaamua baada ya dk kama tano akafungua nikawa na
aman sana kumwona na ile hali japo yeye alikosa raha kabisa nikajaribu
kumsocialise asijione mkosaji nikapiga stori baada ya dk kumi nikaaga
kuondoka kwan cku iliyofuata nilikuwa narud mkoan japo nilimwambia
ntaenda kesho yake na ndio nikathibitisha ya kwamba ana mimba
Baada ya kurud mkoan akawa amerudisha sana mapenz kama mwanzo simu za
mara kwa mara na msg sasa mie nami kuogopa acjepata matatizo wakat wa
uzaz nikawa namjal kama mie ndio mwenye mimba na akawa na aman kila ktu
akawa ananiambia kuhusu mimba hyo,Juz Mungu kasaidia kajifungua mtoto wa
kike nikaambiwa na mpaka sasa kila ktu maambiwa mtoto anasumbua hik
mara kile kwa kifup kaona kama mtoto wangu
Picha ya cku ya harus aliitoa sebulen muda sana lakin sasa nimeambiwa
kaiweka sebulen tena na anaonesha kukumbuka kuna mtu alimpenda,sasa wana
jamvi mie naomba ushauri wenu nafanyaje ktk suala hilo,mimba sio yangu
na je kama nikiamua kuwa na mtu mwingine je ntafunga nae ndoa kwan mie
ni mkristo?
ntampata wapi mwanaume mwenye mapenz ya dhati kama ww mie ee Mungu why kwenye miti hakuna wajenzi? endelea tuu kuvumilia kama unamoenda ila alichofanya huyo dada mie binafsi nakiona nikitendo cjha kigaidi mbayaaaaaaaaa
Unaomba ushauri juu ya nini haswa? Manake.sikuelewi kabisa!
Wana jamvi naomba msaada wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga ndoa kanisani lakin wakati nafunga nae ndoa yeye alikuwa tayar kaacha kaz katika shirika tulilokutana so baada ya kufunga ndoa maisha yaliendelea lakin mie nikikaa mkoan yeye akikaa Dar kutokana na majukumu ya kikazi mie nafanya mkoan yeye Dar kwan alipata kaz nae baada ya kukaa mtaan muda flan.
Mahusiano yaliendelea vizur tu lakin nikaja gundua ya kwamba anachat na mtu ambae tuliwah ishi nae mkoan na nilipoamua kumtafuata akasema binti alimwambia hajaolewa,akakubali kuacha kuchat nae.Vitimbi vikawa vingi sana hatak kuja tena mkoan kuniona mpaka mie niende Dar na kwa bahat mbaya mie nilikosa likizo kwa miaka 3 mfululizo na nikawa kama kuja Dar ni training ya cku mbil mpaka tatu nikawa nakutana na vituko sana mara ninuniwe mara kahama nyumba wakati yy yupo pale pale,stand kuja kunipokea hatak na wakat tuna gar la kutumia nyumban.
Mahusiano yakawa yanaenda kwa mazoea tu mwaka jana kuna mtu akanipigia cm kunipongeza kwa ujauzito wa mke na nilipata shock ukitegemea nina mwaka cjaonana nae kimwili kwan nikienda training fup mara nyingi anasema yupo period,nikazima so kwa kukubali ile hongera nikaanza upelelezi na wakati huo alikuwa anaweza akakaa hata wiki asipokee simu yangu na akipokea da sio dharau hizo kwamba anitak.Kupitia dada ake mmoja akakubali kuniambia ukwel wa jambo hilo kwamba ana mimba na wao wamejua co yangu kumuuliza hawaezi nikawa na uhakika na jambo hilo nikaamua kumwambia tuweke sawa kwan naamin kateleza na tuendelee na maisha kama kawaida akasema hatak na niendelee na maisha yangu kama kawaida japo nilimbembeleza sana
Mwez wa kwanza nikaamua kwenda Dar kwan nilipata ruhusa kama ya siku 9,ndugu zangu wakasema niende nikahakikishe kwa macho yangu na kwa msaaada wa yule dada alinicholea mchoro muda ambao yupo nikaenda nilimkuta na yy ndio alinifungulia mlango kwanza aliponiona kidogo asifungue mlango ila akaamua baada ya dk kama tano akafungua nikawa na aman sana kumwona na ile hali japo yeye alikosa raha kabisa nikajaribu kumsocialise asijione mkosaji nikapiga stori baada ya dk kumi nikaaga kuondoka kwan cku iliyofuata nilikuwa narud mkoan japo nilimwambia ntaenda kesho yake na ndio nikathibitisha ya kwamba ana mimba
Baada ya kurud mkoan akawa amerudisha sana mapenz kama mwanzo simu za mara kwa mara na msg sasa mie nami kuogopa acjepata matatizo wakat wa uzaz nikawa namjal kama mie ndio mwenye mimba na akawa na aman kila ktu akawa ananiambia kuhusu mimba hyo,Juz Mungu kasaidia kajifungua mtoto wa kike nikaambiwa na mpaka sasa kila ktu maambiwa mtoto anasumbua hik mara kile kwa kifup kaona kama mtoto wangu
Picha ya cku ya harus aliitoa sebulen muda sana lakin sasa nimeambiwa kaiweka sebulen tena na anaonesha kukumbuka kuna mtu alimpenda,sasa wana jamvi mie naomba ushauri wenu nafanyaje ktk suala hilo,mimba sio yangu na je kama nikiamua kuwa na mtu mwingine je ntafunga nae ndoa kwan mie ni mkristo?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums