pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kitila mkumbo hafai ile wizara aondoke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae ukiambiwa mleta mada ndio mwandisya mwenyeweHuyu huyu Mark ambaye alikuwepo tangu enzi za Nyerere? Kweli Tanzania imeishiwa rasilimali watu.
Kama kosa la waziri ndio hilo basi huyo mama ana shidaHii Nonsense nahisi kuna jambo sijaelewa mimi tofauti na hotuba ya waziri.
kama nilimuelewa waziri ni kwamba tunatakiwa kuagiza sukari kutoka nje ku cover gap la uzalishaji otherwise mwekezaji anaweza kufanya expansion badala ya kuagiza.(Expansion inaweza ku cover shortage ya sasa?)
Pia wazalishaji pekee ndio wenye sifa za kupewa vibali vya kuagiza.
Utakua ushasahau aliuza kwa kuwa mtoto wake alipewa scholarshipJamani Prof Mwandosya ni mzee ameshatumikia nchi hii muda mrefu, katika utumishi wake pia kafundisha vijana wengi sana engineers. Sasa kwa nini
Wala kuuza kampuni siyo dhambi. Kampuni inaweza kuuzwa hata kama bado inatengeneza faida. Duniani kote makampuni huuzwa na kununuliwa. Kama kampuni yako inauzika ina maana ina potentials za kufanya biashara na ndiyo maana inavutia wawekezaji. Tangaza leo unauza Shirika la Masoko Kariakoo uone ni wawekezaji wangapi makini watajitokeza. Halafu Tangaza unauza Vodacom uone aina ya wawekezaji watakaoonesha nia. Kuuzika kwa kampuni is a sign of confidence
Unajua bado nashindwa kuelewa, wakitoka hao wataingia kina nani ambao wapo vizuri kwa CCM hii?Wa kwanza awe Simbachawene.
Sababu:
Kuruhusu Polisi kufanya kazi kama genge la majambazi kiasi cha wananchi kuona wapo salama zaidi bila ya kuwa na polisi.
Kila mara Rais amekuwa akiwalalamikia Polisi kwa matendo yao hovyo.
Wa pili ni Dotto Biteko
Sababu
Kuendekeza rushwa, kuvuruga mfumo wa ulinzi wa leseni, na kutumia nafasi yake ya uwaziri kuwanufaisha ndugu zake wenye asili ya Rwanda.
Wa tatu ni Kabudi
Sababu
Kushindwa kusimamia uhuru wa mahakama na kuhakikisha mahakama inaendeshwa na watu wenye weledi wa kutosha. Kuiacha mahakama iendelee kuingiliwa na Serikali.
Hiyo suggestion yako ni nonsense pia, mwache mzee mwandosya apumzikeSalaam Wakuu,
Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo.
Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye.
Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais.
Mkeka ujao ndo mwisho wa dharau kwa rais.
Nani unapendekeza atoke na kwa sababu gani?
Nani aingie kwa sababu gani?
Nampendekeza ateuliwe Mark James Mwandosya apewe Wizara ya maji. Kabobea.
Serikali kutomtumia Mark James Mwandosya, ni kupoteza nguvu kazi ya taifa. Vijana bado wanatakiwa kujifunza kwake.
Nonsense wote watoke Serikali
View attachment 2026760
Hebu weka ushahidi hapa kuhusu Waziri Simbachawene na Biteko. Hiyo ya tatu kwa Profesa Kabudi nalo sijui ukweli wake. Ila unapotuhumu vitu vyenye kuhitaji ushahidi ni lazima utoe ili jukwaa hili lisiwe na baadhi ya watu wenye akili za mambo ya vijiweni.Wa kwanza awe Simbachawene.
Sababu:
Kuruhusu Polisi kufanya kazi kama genge la majambazi kiasi cha wananchi kuona wapo salama zaidi bila ya kuwa na polisi.
Kila mara Rais amekuwa akiwalalamikia Polisi kwa matendo yao hovyo.
Wa pili ni Dotto Biteko
Sababu
Kuendekeza rushwa, kuvuruga mfumo wa ulinzi wa leseni, na kutumia nafasi yake ya uwaziri kuwanufaisha ndugu zake wenye asili ya Rwanda.
Wa tatu ni Kabudi
Sababu
Kushindwa kusimamia uhuru wa mahakama na kuhakikisha mahakama inaendeshwa na watu wenye weledi wa kutosha. Kuiacha mahakama iendelee kuingiliwa na Serikali.
Msimu wa mavuno kwanini msiungane.fungu tamuBila tume huru ni ndoto za mchana, CCM kipindi cha uchaguzi huwa wanaungana balaa
Hakuna Mtanzania mwenye cheo anaweza kijiuzuru na kuacha V8.Aliongea tu aonekane ana msimamo.Huyo waziri'nosense' ameshajiuzuru!?
ama bado.......