Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

Mark Mwandosya alipata kuwa waziri kwenye awamu zilizopita.

Nini hasa unadhani alilifanyia taifa hili hadi kustahili kuwa waziri wa maji sasa?
 
Kuna mtoto wa aliyewahi kuwa kigogo wa nchi anatafutiwa uwaziri kwa njia yoyote kwa ku sacrifice mawaziri wengine
 
Kw amfumo tulionao hata Mungu akimtuma malaika, malaika atarudi mbinguni aombe ccm ichomwe moto ili aanze upya. kufumua baraza la mawaziri haisaidii cho chote ili umwingize nani aliye bora? Nape?
 
Kama kosa la waziri ndio hilo basi huyo mama ana shida
 
Utakua ushasahau aliuza kwa kuwa mtoto wake alipewa scholarship
 
Mwandosya wa nini wakati kuna watu wenye uwezo zaidi yake wa kutosha. Apumzike au awe mshauri tu. We have new blood out there wenye uwezo na wenye muamko wa kuleta vitu vipya. Huyo mzee mnataka afie madarakani?
 
Unajua bado nashindwa kuelewa, wakitoka hao wataingia kina nani ambao wapo vizuri kwa CCM hii?

Atatolewa simbachawene atawekwa mavunde au au zungu

Atatolewa kabudi atawekwa mabula

Ni wale wale hakuna jipya lolote
 
Hiyo suggestion yako ni nonsense pia, mwache mzee mwandosya apumzike
 
Hebu weka ushahidi hapa kuhusu Waziri Simbachawene na Biteko. Hiyo ya tatu kwa Profesa Kabudi nalo sijui ukweli wake. Ila unapotuhumu vitu vyenye kuhitaji ushahidi ni lazima utoe ili jukwaa hili lisiwe na baadhi ya watu wenye akili za mambo ya vijiweni.
 
Watu wana roho ya paka na madaraka mteule wako amekwambia your non sense, alafu leo utamkuta waziri YUPO ofisini, kujiuzulu hataki
 
Mama yenu anajiona kakomaa, anaanza kuporomosha mitusi ya kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…