Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

Mfumo wetu wa teuzi na muundo wa hizo wizara utakuwa ndiyo chanzo kikuu cha hizo 'nonsense'.Swali fikirishi ili je kwakununua bidhaa nje ambazo viwanda vyetu vinazalisha ,kunawezesha, viwanda hivyo kuweza kuzalisha na kukua? ' Political decisions must be competitively harmonized'
 
Mama katamka 'NONSENSE' kwa msisitizo na kumaanisha kabisa. Mama hajui kama kuna principle ya Most Favored Nation (MFN) katika biashara ya kimataifa ukiwa mwanachama wa Shirika la Biashara Duniani (WTO). Tutegemee kuona nchi za SADC (Mauritius, Eswatini, n.k) wakitaka kupatiwa huo upendeleo aliopewa Uganda kwa kutumia MFN principle.

Nashauri Prof. akae pembeni maana akiruhusu tu sukari kuingia atapata tabu sana. Ikumbukwe Museveni amekuwa akitafuta soko la sukari yake tangu 2015 enzi za JPM na hakuwahi kulipata.
 
Hawa wote uliowataja hapa hawafai au unawaonea wivu? Tumtieni moyo Rais kwenye kazi zaidi na na si kwenye kubadilisha badilisha mawaziri; Rais kubadilisha badiklisha mawaziri siyo afya sana kwa sisi tunaoongozwa. Hata kama kuna adui yako ndani ya Barza la Mawaziri, vumilia na muombee tu Mama aende naye mpaka 2025, halafu baada ya hapo yeye mwenyewe atakuwa amemuona na atamuondoa kwenye awamu ijayo. Mama namuombea aendelee kutunza Baraza Stable atakalovuka nalo hadi mwishoni mwa 2025. Alionao ni binadamu mapungufu hayakosekani. Kwa mfano, leo unamtoa A unaniweka mimi, halafu kesho unakuja tena kugundua kuwa mimi nina mapungufu zaidi kuliko hata A uliyemtoa, how do you proceed after knowing this?. Tumuhamasisheni Mama awabane tu li wafanye kazi kama inavyotakiwa. Mama si kwamba anao uwezo wa kuwaondoa tu bali pia anao uwezo wa kuwashikisha adabu wakafanya kazi kama anavyotaka yeye na bila kuwaondoa
 
Kama ummy mwalimu hayupo huo mkeka ni fake,kila siku mwanamke anatutolea matamko ya kisengerema
 
Wafukuzwe sukuma gang wote. Nonsense
 
Livingstone Lusinde, Msukuma na Deo Sanga wasikosekane kwenye nafasi.
Pia Babu Tale akipewa wizara ya fedha hakika nchi hii itakwenda mbio kama Sadala katika Baikoko.
Mbona CCM ina hazina kubwa tuu ya viongozi? Hapo hujamuweka Agnes Mwita yule wa vitu maalum Mara.
 
Na wakuondoa rais nonsense 2025 huoooooo
 
Mafisadi bhana, inafika wakati hamtumii akili zenu kufikiri, ila mnachofikili ni waizi tu.
Huyo mwandosya hakulizika na muda alioutumia huko nyuma kawa shughuli za serikari?
Kuna watu hawajapata ajira au umli unawaruhusu kutumikia taifa.

Mwandosya kwa sasa nae akafungue biashara ili awa ajiri vijana wanaokosa kazi sio nae avizie kazi kwa umli wake kwani aliacha nini humo serrikarini?

Hoja zingine mtu anatoka kwevye vilabu vya pombe anawaza na kuandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…